Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Kumekuwa kukiandikwa na kutangazwa mara kwa mara kwenye vyombo vya habari kwa kutumia msemo huu" Inahofiwa watu kadhaa wameumia katika ajali hiyo". Neno KUHOFIA linaleta maana iliyokusudiwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
PEPO maana yake ni nini, hasa tunaposema "Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi". Wataalamu wa lugha tafadhali!!!
0 Reactions
2 Replies
20K Views
KTY: Kwa wale mnaoitakia mema lugha yetu ya Kiswahili zingatia tangazo hili/ FYI: For those who wish our Kiswahili language success note the announcement below and act accordingly: We are...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajamvi swali la kizushi Una rafiki mchina au mfaransa hawajui lugha zaidi ya lugha zao na wewe hujui lugha zaidi ya kiswahili au kingereza utatumia nyenzo gani kuwasiliana nao kimaandishi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ujamaa uliikosesha Tanzania ajira za Kiswahili Marekani Bado Tanzania ina nafasi na uwezo mkubwa wa kuikuza lugha ya Kiswahili nje ya mipaka yake. Huu ndio mtazamo wa Profesa Pete Mhunzi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wapendwa leo Geof amewashukuru wanaJF wote kwa ushirikianao waliotoa kufanikisha arusi (wataalam wanasema sio HARUSI) yake . kichwa cha habari cha thread yake ameanza "SHUKRANI.........." Sasa mie...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ukumbi ulikuwa umejaa watu toka sehemu mbalimbali za jiji la Mwanza. Ilikuwa ni siku ya pekee kwa wanamitindo na warembo wa Jiji hili. Muziki wa kizazi kipya ulikuwa ukitumbuiza huku ukipokezana...
0 Reactions
17 Replies
9K Views
Kuna methali nimeisikia tangu utotoni lakini ukweli ni kwamba sijui maana yake wala inatumika katika mazingira gani,Hivi wana JF mnaweza nifasiria hii methali na kunipa matumizi yake?Ganda la muwa...
0 Reactions
16 Replies
14K Views
Wana JF nimekuta makala hii katika Blong ya Jielewe. http://bwaya.blogspot.com/ iliyoandikwa siku ya jumatano 9 Desemba, 2009 Siku ya Uhuru wa Tanzania Bara yenye Kichwa cha habari Soma...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
kuna thread kule jamvini inaema "mwanfunzi ajifungua mapacha watatu" hivi huu si upotoshaji wa lugha? mbona inajulikana kuwa mapacha ni wawili? mi naona ksema mapacha watatu ni sawa na kusema...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
kichaga kukiongea rahisi (kwa mchaga) ila kuandika ni ishu. kuna maneno hayaandikiki mfano: shira (vita). hiyo 'r' kwenye kizungu ingetamkwa read. r inateleza mara (majani). hiyo 'r' sijui...
0 Reactions
26 Replies
25K Views
Fumbua fumbo: mimi hulala hapa lakini si kwangu nyumbani
0 Reactions
2 Replies
11K Views
Naomba mnitafsirie sentensi hii kwa kikabila chenu: Jaribu kuwa as faithful to the words here as possible (yaani kile kilugha chenyewe hasa). Unaweza ukatafsiri neno kwa neno: Halafu niandikie ni...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Maneno haya ni ya Kiswahili? Wakuu, maneno yafuatayo hutumika sana katika mazungumzo ya kiswahili. Je matumizi ya maneno haya na maana zake humaanisha kuwa maneno haya ni ya kiswahili? Mdosi...
0 Reactions
22 Replies
19K Views
Yapo mengi ya aina, Mapenzi ya kila namna, Ya wazee na vijana, Mioyo inapeana; Na lipo penzi la kichina! Yapo yale ya kizungu, Ya weupe na wanungu, Yapo hata ya machangu, Na ya kufukuzwa na...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wanajamvi nambieni... Ni urafiki gani huu, kati ya usingizi na kifo? Ni undugu gani huu, kati ya hofu na mauti? Ni ujirani gani huu, kati ya mashaka na upotevu? Ni ushirika gani huu, kati ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Chakula nilichokula, nakisifia kitamu! Nimekula bila hila, kimeniondoa hamu, Cha jirani sitokula, changu chanitosha hamu, Nilichokula kitamu, nilichokula nini? Sikukipika kwa moto, kwani...
0 Reactions
36 Replies
9K Views
Habari zimenifikia kuwa hadithi yangu ya Tanga Usiku wa Manane imeanza kuchapwa katika gazeti la Tanzania Daima na itaendelea tena siku ya Jumamosi; usikose. Mwambie na jirani yako... Niko...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Salam ndugu wana JF napenda kujua maana ya maneno haya kwa kiswahili kwani huwa yananichanganya sana.Natanguliza shukurani. 1. Homophobic 2. Homosexual 3. Bisexual 4. Heterosexual 5...
0 Reactions
18 Replies
26K Views
Bwana Muro kaa sawa, wenzio hao wahuni Ndugu Jerry ota mbwawa, wajuwe uwa mjini! Dogo Muro watauwa, ingia zako mitini! Wenzio hao wahuni, tulia au ishia! Tena punguza jazba, tumia mbongo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom