Nitafsirie kikwenu mnasemaje hivi?


Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,749
Likes
7,625
Points
280
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,749 7,625 280
Naomba mnitafsirie sentensi hii kwa kikabila chenu: Jaribu kuwa as faithful to the words here as possible (yaani kile kilugha chenyewe hasa). Unaweza ukatafsiri neno kwa neno: Halafu niandikie ni kilugha gani.

Tunatangaza uadui, kati yetu na kati yao!
 
M

Mapinduzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2008
Messages
2,427
Likes
21
Points
0
M

Mapinduzi

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2008
2,427 21 0
Tatangazire uadui kati ya susu na vovo!
 
Bigirita

Bigirita

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
15,084
Likes
1,761
Points
280
Bigirita

Bigirita

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
15,084 1,761 280
Hahahaaa! Kweli leo patamu. Aliyetuweka huru katika giza atakutia nguvu.

Here I go: chisiang chu wio hnwea nee
 
B

Baija Bolobi

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2009
Messages
1,072
Likes
1,153
Points
280
B

Baija Bolobi

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2009
1,072 1,153 280
Twaranga enzigu omulitwe naimwe, kandi nomulimwe mwenka
Twaranga enzigu omulitwe naimwe, nomugati yanyu imwe.
(Kinyambo)
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
40,965
Likes
14,371
Points
280
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
40,965 14,371 280
1. This is profiling.

2. "Tunatangaza uadui, kati yetu na kati yao" is at best inconsistent and may prove logically fallacious.
 
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,749
Likes
7,625
Points
280
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,749 7,625 280
Twaranga enzigu omulitwe naimwe, kandi nomulimwe mwenka
Twaranga enzigu omulitwe naimwe, nomugati yanyu imwe.
(Kinyambo)
mbona kama maneno yamekuwa zaidi.. ?
 
Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Messages
19,568
Likes
10,161
Points
280
Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2008
19,568 10,161 280
Turaigiriria rumena gatagate witu na gatagate wao!
 
Magulumangu

Magulumangu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Messages
3,040
Likes
22
Points
135
Magulumangu

Magulumangu

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2010
3,040 22 135
Naomba mnitafsirie sentensi hii kwa kikabila chenu: Jaribu kuwa as faithful to the words here as possible (yaani kile kilugha chenyewe hasa). Unaweza ukatafsiri neno kwa neno: Halafu niandikie ni kilugha gani.

Tunatangaza uadui, kati yetu na kati yao!
utangaze mtu wangu huo uadui lkn sio kujua lugha za watu...
 
Yegomasika

Yegomasika

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2009
Messages
10,307
Likes
41,678
Points
280
Yegomasika

Yegomasika

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2009
10,307 41,678 280
Naomba mnitafsirie sentensi hii kwa kikabila chenu: Jaribu kuwa as faithful to the words here as possible (yaani kile kilugha chenyewe hasa). Unaweza ukatafsiri neno kwa neno: Halafu niandikie ni kilugha gani.

Tunatangaza uadui, kati yetu na kati yao!
I'm smelling a rat here!.
 
SYLLOGIST!

SYLLOGIST!

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2007
Messages
307
Likes
57
Points
45
SYLLOGIST!

SYLLOGIST!

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2007
307 57 45
"Either you are with us or against us"
 
tgeofrey

tgeofrey

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2008
Messages
532
Likes
1
Points
35
tgeofrey

tgeofrey

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2008
532 1 35
The world is missing definItive transIlation , most it realay on convertive trasilation, that ia why u can see there iS a lot of misinterpretation especial on preachers and the bibble its seLf. For example father is defined as a male parent in english in swahili by convertive is baba, in definition is mzazi wa kiume. It is easy for objects for nouns it should be the same so definitive transilation it the best just because it carries the whole meaning fo the word
 
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,749
Likes
7,625
Points
280
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,749 7,625 280
yaani inaweza kuwa "tunatangaza uadui kati yetu na wao"..
 
tgeofrey

tgeofrey

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2008
Messages
532
Likes
1
Points
35
tgeofrey

tgeofrey

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2008
532 1 35
we declare enemity between us and them
 
Sanda Matuta

Sanda Matuta

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2007
Messages
950
Likes
11
Points
0
Sanda Matuta

Sanda Matuta

JF-Expert Member
Joined May 9, 2007
950 11 0
yaani inaweza kuwa "tunatangaza uadui kati yetu na wao"..
Ah!
Nyinyi mmeshachelewa,wale Jamaa/Wananchi na wakaji wa Segela Mkoa wa Tanga wale ndio wanaume.
Wametangaza wazi wazi hamna cha kuficha kitu,"(yaani mnataka kuuza mlima alafu tuwachekee,!?Sisi tunaingia msituni.Vita sisi na nyinyi)"
 
Pearl

Pearl

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2009
Messages
3,042
Likes
34
Points
135
Pearl

Pearl

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2009
3,042 34 135
نعلن أن العداوة بيننا وبينهم arabic
Nous déclarons que l'hostilité entre nous et entre eux! french
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
42,310
Likes
38,199
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
42,310 38,199 280
نعلن أن العداوة بيننا وبينهم arabic
Nous déclarons que l'hostilité entre nous et entre eux! french
yerewiiiiii,
nafwa ne mwana wa nsafwa
 
tete'a'tete

tete'a'tete

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2010
Messages
473
Likes
0
Points
0
tete'a'tete

tete'a'tete

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2010
473 0 0
Loochitangaza uadui kati ya swee na woo!!
 

Forum statistics

Threads 1,205,451
Members 457,927
Posts 28,194,564