Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Nini maana ya WOZA, naomba kuulizia Neno linanitatiza, kila nikifiria Wale nilowauliza, jibu hawakunipatia Nipeni maana yake, wale mnaofahamu. Nilimwuliza ayubu, jibu hakunipatia Akajifanya ni...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Uzee kitu adhimu, huo ninauingia Ujana sasa adimu, Shabani aliusia Maungoni mwangu humu, uzee unanijia, Na miye nakusalimu, mgeni wangu uzee! Mbali ninamuachia, rafiki yangu ujana...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wasalaamu salamuni, waungwana nawajia Mababu wa mizimuni, walokwisha tangulia Najongea kwa huzuni, najizuia kulia ulimwengu wa mapenzi, buriani aagia Ulimwengu wa mapenzi, buriani naagia...
0 Reactions
82 Replies
14K Views
Chemsha bongo kwa wana JF: Je nani anaweza kutaja nchi nne za Africa ambazo hazijawahi kutawaliwa bila kutumia google au search engine nyingine?
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Ya'rabi miye nalia Haya n'nashuhudia Ya shari twajitakia Ya mambo ya kuchukia Kubeba asobebeka, akibebwa habebeki! Twaona yanatukia Kama giza latujia Wenyewe twashingilia Totoro twaliingia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naasa nisikiani, ya lazima mabanati Wamekuvisha vimini, hujuwi zao shuruti Tayari umtihanini , epukeni ma afiriti Mabanati yapimeni haya yangu mi matamko Kukwita mi sitochoka , ile njia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tangu enzi za wagiriki uigizaji wa jukwaa procenium theatre umechukuliwa kuwa ndiyo theatre kamili. wanachuo wasomapo huwa wanasomea stage theatre. Lakini je ni ipi iliyo bora baina ya ile ya...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
unapojifunza lugha nyingi, msamiati wa kwanza huwa tarakimu moja hadi kumi. lakini wajua kuwa neno la herufi 3 ni karibu sawa katika asilimia 70 ya lugha za ki-bantu? wajua kuwa lugha nyingi huwa...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mimi ni mgeni jukwaani, nataka kushiriki kujifunza lugha. Lakini kwanza ni na swali: nini tafsiri ya neno MILITARISM. the ideology of building a strong armed force to expand a country's economic...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Huku wanasiasa wakitusukumilia jumuiya ya afrika mashariki ni lahaja ipi yastahili kutumiwa rasmi. kuna kiswahili cha mwambao - cha dar na mombasa; kunacho cha mijini - km nairobi kuna sheng...
0 Reactions
13 Replies
18K Views
its not that i'm not proud of our language, swahili is the best i rock it wherever i go, but on the international stage it just doesn't cut it. we need to speak more english, i noticed this is a...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu, Napenda kujua hili neno 'Miundombinu' u-singular wake ni nini? na ningependa kupata japo sentensi ya mfano
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndege Unayetafutwa 1. Ewe ulobahatika, ndege uliye hewani Unopita ukiruka, na kuranda mitaani Mwenzio ahangaika, aparamia mitini Fanya urudi haraka, zikuone zake mboni...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Plans are already at an advanced stage for the Swahili language to be incorporated in MS Applications. Let's take a sneak peek at developments so far: It's the high time you buy a kamusi as things...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Isingekuwa vigeni, mwanamke kuchumbia Ningepita mitaani, mume kujitafutia, Nisimuudhi Manani, ndio nimejizuia. Mke asiye na mume akamchumbie nani? Ndege maingainga, si jambo la kujitakia, Mume...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nakuasa usikie, usemaji ni karama, Maneno usirukie, sema mambo kwa kupima, Utamkapo ujue, neno halirudi nyuma, Ukosapo neno jema, kheri ujinyamazie. Kheri ujinyamazie, ovu huleta khasama, Majuto...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mbili ziro ziro tano, kwetu ulijipitisha, Ukaita mikutano, sera zako kutupasha, Katika ule mtoano, oktoba uliokwisha, kipi kinachokufanya makwetu kuturudia? Siku zile ulisema, tena ukiwa bayana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Unapoulizwa swali, Kinachotakiwa ni jibu, Usingoje mara mbili, na kutafuta sababu, Wewe useme ukweli, au bora uwe bubu, Swali halijibu swali, kinachotakiwa ni jibu!!! Wewe toa hilo jibu...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Ninalo Swali jamani, linalotatiza kichwa changu Kila lijapo mawazoni,laniongezea wazimu Nashindwa niseme nini, nabaki ni kama bubu Wali uliwe kwa mkono, au Kijiko Jamani? Wa maharage...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Pole shekh Yahya, Uso kuwa na haya, Na utabiri mbaya, Ulojaa mabaya. Umejiweka mtukufu, Na huna utakatifu, Una mawazo mafu, Tena toka kwa wafu. Unatuletea ya kuzimu, Tuso abudu mizimu...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Back
Top Bottom