Salamu marafiki.
Nimekuwa nikisoma mabandiko kadhaa katika ukumbi. Nimeona kuwa kuna watu wana tabia ya kufupisha maneno kama kusikia basi nakadhalika kwa kueka herufi "c" badala ya herufi "s"...
Salaam wenzangu hasa wataalamu wa habari za kijeshi. Naomba msaada kuhusu maneno kwa ajili ya vitengo ya kijeshi.
Kiingereza: Company, battalion, regiment, brigade, division, corps, army
Nasikia...
habari zenu wanajamii .. mimi huwa najitatiza swala zima la huyu samaki pomboo
sijapa kumuona na pia sijui kizungu aitwaje? je ni kama wale binti wazuri wa kusadikaka katika hadithi zetu samaki...
Tanzania nchi yangu, yenye uso wa kungaa,
Afrika na Ulimwengu, sifa tele tapakaa,
Wahindi nao wazungu, hakuna wa kuhadaa,
Jinsi ilivyo sifika, kwa uongozi thabiti.
Ilijulikana pote, Tanzania ya...
Kwa siri yake mtungi, aijuaye ni kata,
Na nyumba bila msingi, utapasuka ukuta,
Kila palipo na wengi, na mambo ya yatambata,
Kugunduliwa kompyuta, bin'Adamu hana kazi.
Binadamu hana kazi...
Kutoka na misemo mingi ambayo huchafua lugha kwa kutumia misemo hii mimim naona si vema kutumika na kufindishwa mashuleni kwa watoto hutafsiri misemo hii kwa matendo na kusimiliana na kuyafanya...
Kina mama wenye watoto daima wanaitwa kwa majina ya watoto wao, mf. kama mtoto wake anaitwa "Mfaume" basi mama yake ataitwa "Mama Mfaume". Miaka ya karibuni - kama sikosei - kina mama wamekuwa...
Napatwa utata pale mtu anapoulizwa jina lake au kuagizwa aandike jina lake, kisha anajibu au kuandika, mimi ni fulani fulani fulani ( John Alfa Mohamedi).
Ni sahihi mtu kujibu au kuandika majina...
Nawaza kuwa ingekuwa vema kukawa na lugha moja ambayo itakuwa ndiyo Lugha rasmi ya ulimwengu wote.
Kuwepo kwa Lugha moja rasmi ya ulimwengu, kungeleta faida zifuatazo:-
Kurahisisha mawasiliano...
Huenda si hoja mpya, lakini najiuliza endapo tunajua kwamba Kenya inanufaika zaidi na Kiswahili licha ya kuwa na wazungumzaji wachache kuliko Tanzania?
Nasema hayo kwasababu kibiashara au...
Tanzania ni taifa kubwa katika A.Mashariki. Cha kushangaza ni kwamba hatuna ONE OFFICIAL language. Tunatumia Kiswahili mitaani, kwenye mikutano,nk. lakini tunafundishwa Kiingereza mashuleni na...
Neno Nafikiri humaanisha kufanya uchambuzi kwa lengo la kutafuta ufumbuzi wa jambo fulani kwa kutumia ubongo. waingereza hutumia "I think"
Neno Nahisi humaanisha utambuzi wa jambo au hali fulani...
Namfundisha mwanangu kiswahili sasa kaniuliza hii spana inayofungua bolts nyingi tofauti inaitwaje? Jibu najua ni Spanna Malaya..lakini hili jina halijakaa sawa kwa mtoto mdogo, maana anaweza...
Kwanza, salaam za dhati ni kwenu ninyi ndugu, nimetafiti kidogo juu ya neno ASILI na CHANZO lakini bado nakanganyika kimatumizi hadi inafika wakati naamua kuyatumia popote tu hali ambayo imenipa...
Helena, mwanamke mwenye ujauzito wa miezi mine, amekaa sebuleni, ndani ya nyumba nzuri ya kifahari, waliyonnunua na mumewe Samson, anawaza na kutafakari maisha ya ndoa yake yenye miezi mitatu tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.