Kwa nini neno "shukrani" hutumika ktk kumbukizi za marehemu?

Akili Kichwani

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,508
216
wapendwa leo Geof amewashukuru wanaJF wote kwa ushirikianao waliotoa kufanikisha arusi (wataalam wanasema sio HARUSI) yake . kichwa cha habari cha thread yake ameanza "SHUKRANI.........." Sasa mie nilipoona nikakumbuka neno hili hutumiwa sana na watu wafanyaPo kumbukizi za marehemu au HITMA hasazile zinazotangazwa kwnye magazeti.

mfano unakuta wanaandika :

SHUKRANI
leo ni miaka miwili tangu tulipoondokewa na mpendwa wetu..............................

sasa tusaidiane:
nini chanzo cha neno hili (SHUKRANI) kutumika kuwafanyia marehenmu hitma au (kumbukizi) zaidi kuliko matuKio mengune?????????
 
wapendwa leo Geof amewashukuru wanaJF wote kwa ushirikianao waliotoa kufanikisha arusi (wataalam wanasema sio HARUSI) yake . Sasa mie nilipoona nikakumbuka neno hili hutumiwa sana na watu wafanyao kumbukizi za marehemu hasa kwnye magazeti.

nini chanzo cha neneo hili kutumika huko (kuwafanyia marehenmu hitma au kumbukizi) zaidi ya matuio mengune?????????

Sina uhakika kama umeeleweka, jaribu kufafanua swali lako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom