Pole shekh Yahya,
Uso kuwa na haya,
Na utabiri mbaya,
Ulojaa mabaya.
Umejiweka mtukufu,
Na huna utakatifu,
Una mawazo mafu,
Tena toka kwa wafu.
Unatuletea ya kuzimu,
Tuso abudu mizimu...
Namshukuru mwenyezi,sifa na takbira.
Labana afanya kazi,akifata yake dira.
Humpa naye mridhi,jazha nema ongezea.
Humnyima kwa uwazi,yule anaye mkusudia.
Huyu ndio Mwenyezi,Mungu tunaye msujudia...
Ugali kweli mtamu,
Kwa huo ninayo hamu,
Kwa mboga yenye saumu!
Ugali tangu shuleni
Jamani hadi jeshini
Nikaula na chuoni
Ugali iwe mchana
Kwenye upepo mwanana
Mwenzenu...
Wadau ninaomba msaada wa tafsiri ya maneno haya kwa kiingereza
Fenesi
Tope tope
Stafeli
Kweme
na pia namna ya kusema 'Thanks in advance' kwa kiswahili
Asanteni
nataka niote bonge la ndotoo! siyo kijindoto cha kitoto' yaani kesho ukiniona aah! jitu hilo we kujigonga tu kwenye ugokoo' ndoto ndefu kama HESHIMA THABITI wa UCONN. Enh! cjui niote mafumbo na...
Ukiondoa nyimbo chache na wanamuziki wachache wa Bongo Flava kiujumla naomba nikiri kuwa nachukia bongo flava; siwezi kusikiliza zaidi sekunda chache za mwanzo, nachukia wanavyoimba utadhani...
Mara chache chache, nimekua nikiwafuatilia akina Kibonde na Gadna, Clouds FM, ktk kipindi chao kinachoanza karibu kila siku jioni. Siku moja waligusia utofauti wa matumizi na utofauti wa maana ya...
Jamani naombeni msaada. Nnamapungufu ya kuongea lugha hii ya kigeni (english/kingereza) lakini napenda niijue vizuri na niweza kuongea kama naongea kiswahili. Nifanyeje niweze kuimudu?
WAKATI wazungumzaji wa Kiswahili wakiendelea kukibananga, watunga sera na watoa maamuzi wameisahau lugha hiyo.
Hivi ndivyo mtafiti na mtaalamu wa Kiswahili, Sheikh Khamis Mataka anavyoyatazama...
Wakati tukijaribu kukikuza kiswahili chetu kwa kuongea na kuandika, na wakati kimataifa lugha rasmi ya Tanzania ni Kiingereza na Kiswahili, je, ipo haja ya kutumia lugha moja kati ya Kiingereza au...
Waheshimiwa, nina maswali mawili kuhusu ziwa Tanganyika na jina lake.
a) Yuko anayejua maana asilia ya neno "Tanganyika"?
Nilisikia ni TANGA (=la jahazi) + NYIKA (=pori).
Nina wasiwasi sana...
prof. mmoja wa uingereza alikuwa akimfundisha mwanae somo la geography sasa ilipofika wakati anamwelekeza pande kuu nne za dunia mwanae alikuwa kilaza anashindwa kukumbuka, kwa hiyo akaanza...
Kuna baadhi ya misemo inanitatiza, lakini naamini hapa kuna wajuzi wa lugha, ya Kiswahili ambao watanipatia msaada.
Ninachotaka kujua, Je nini asili au chanzo cha misemo hii kutumika?
Misemo...
Jamani, kuna suala linanisumbua kidogo. Chakula umenunua mwenyewe, umekileta nyumbani, mpishi ni wako mwenyewe, umepikiwa, chakula kimeiva, kipo mezani.
Kuna ulazima kila unapotaka kula, uombe...
Ngugu wana JF nawatakieni weekendi njema, lakini ningeomba nisahihishwe katika haya;
a) Msichana hupewa mimba
b) Msichana hubebeshwa mimba
c) Msichana hutiwa mimba
Hivi karibuni nilikwenda kutafuta vitabu katika taasisi ya kiswahili pale chuo kikuu mlimani {TUKI} na katika jengo la Quality Plaza lililoko Nyerere Road, pale kuna duka moja, nadhani linaitwa...
Nawasalimu wana JF. Mwanajamii nimetatizwa na hili lifuatalo: Naomba wana JF wanisaidie jinsi ya kumuuliza kwa kiingereza Baba yangu Mzazi kuwa mimi ni mtoto wa ngapi kuzaliwa kwake au kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.