Msaada tutani: Nini maana ya maneno haya kwa kiswahili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada tutani: Nini maana ya maneno haya kwa kiswahili?

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Ng'wanza Madaso, Feb 2, 2010.

 1. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2010
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  Salam ndugu wana JF napenda kujua maana ya maneno haya kwa kiswahili kwani huwa yananichanganya sana.Natanguliza shukurani.

  1. Homophobic
  2. Homosexual
  3. Bisexual
  4. Heterosexual
  5. Hermaphrodite
  6. Homoerotic
  7. Pansexual
  8. Omnisexual
  9. Polysexual


   
 2. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2010
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  Msaada wana jamvi mbona kimya?
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 80,463
  Likes Received: 117,263
  Trophy Points: 280
  Unajua lugha yetu si kubwa kiasi hicho, lakini labda kuna wataalam wa Kiswahili hapa jukwaani wanaweza kukupa msaada.
   
 4. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2010
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  du..may be uziwakilishe TUKI mkuu
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 42,163
  Likes Received: 37,660
  Trophy Points: 280
  Semenya walisema yeye ni hunsa na alikuwa na jinsia mbili.
   
 6. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2010
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,343
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 0
  ninachofahamu mimi homophobic ni unyanyapaa yaani unakuwa na phobia kwa binadamu mwenzio.
   
 7. K

  KAPONGO JF-Expert Member

  #7
  Feb 2, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,397
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  My take:
  homophobic = mtu anayechukia ngono ya watu wa jinsia moja.(******* na wasagaji)
  heterosexual= ngono ya watu wa jinsia zisizofanana (tofauti )
  hermophrodite + kiumbe chenye jinsia mbili tofauti...(say uke na uume).
   
 8. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #8
  Feb 2, 2010
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  Asante mKuu KAPONGO
   
 9. r

  rito Member

  #9
  Feb 2, 2010
  Joined: Apr 13, 2009
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  labda umtafute mwanzuoni Amandina Lihamba anaweza kusaidia kwa hili
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Feb 2, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 42,163
  Likes Received: 37,660
  Trophy Points: 280
  kwa neno moja mtu wa aina hii anaitwa HUNSA
   
 11. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #11
  Feb 2, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,765
  Likes Received: 1,028
  Trophy Points: 280
  Homophobic - Mtu anayewachukia homosexual

  Homosexual - M@se@nge% au Basha wa kike au wakiume, lakini M@se@nge% ni yule anaye***** tu na Basha ni mfiraji. Kwa maana yangu wote wanafit kwenye ku***** na ku**** - wanaume pekee na wanawake pekee - How they do it I don't know

  Bisexual - Huyu ana sehemu zote za siri ie za kiume na kike

  Heterosexual - Huyu ni mwanaume au mwanamke ambaye anapenda opposite sex kwa kuoana na kuwa na family. Majority ya watu ambao wanaanza family watu ambao sio mabasha au Wa@s@enge%

  Hermaphrodite – Mfano Semenya wa SA huyu ni sawa na Bisexual

  Homoerotic - Huyu ni M@se@nge% au basha ambaye ankuwa na nyege kwa wanaume au wanawake wenzake

  Pansexual – Hii ni diverse sexual expression

  Omni sexual – Omni maana yake ni all

  Polysexual - Sijui umeliibua wapi hili
   
 12. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #12
  Feb 2, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,517
  Likes Received: 7,271
  Trophy Points: 280
  hizo sehemu zingine nadhani ni sahihi lakini hapo penye nyekundu ni kuwa mtu anakuwa na jinsia moja (Mwanamke au mwanaume), lakini anakuwa attracted kufanya sex na jinsia zote, kama mwanaume anaweza kuwa na mke lakini pia akawa anachapwa kiboga
   
 13. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #13
  Feb 4, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,649
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 160
  1. Homophobic = mwenye kuwachukia mashoga.

  2. Homosexual = Ni mtu mwenye kupendelea zaidi kufanya ngono na jinsia yake

  3. Bisexual = Mtu ambaye anafanya na yeye pia anafanywa. (wengine uwaita askari jeshi, anapiga na kupigwa.

  4. Heterosexual = mtu mwenye mwelekeo wa kupenda kufanya ngono na jinsia tofauti na yake

  5. Hermaphrodite = Mtu mwenye jinsia mbili, ya kike na kiume au Kuntha

  6. Homoerotic = mwenye kupendelea mambo ya kishoga

  7. Pansexual = mwenye kushiriki ngono za aina mbali mbali

  8. Omnisexual = Mwenye kupenda ngono kila mahala, hasiyechaguwa mahala pa kufanya ngono

  9. Polysexual = Mwenye kupenda ngono, au mwenye kupenda ngono ya wengi.

  Wataalam watasaidia zaidi.
   
 14. Natty Bongoman

  Natty Bongoman JF-Expert Member

  #14
  Feb 4, 2010
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 273
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  labda mila na utamaduni wetu haukuwa na hawa, kwa hiyo lugha haikuwaona...

  pia ka vile neno moja 'nakupenda' ni matatu kwa kibbc 'I love you'... kuna maneno ya kiingereza ambayo tafsiri yake ni maneno zaidi ya moja ya kiswahili :
  Homo = m.senge, hanisi, khanithi
  phobia = uoga
  ... kwa hiyo homophobia = anaeogopa usenge (tofauti na kumuogopa m.senge)

  Hermaphrodite = huntha ... ama mwingineo humu kasema 'hunsa'

  @ X-PASTER ... dunia mpya twaishi cku izi ... omnisexual yawezekani kuwa anayependa kukazwa sehemu nyingi (k, kisamvu, mati.tini, nk) ... ama?
   
 15. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #15
  Feb 4, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,217
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  usijilemaze sana mdogo wangu. maneno mengine ni kiasi cha kuchukua kamusi na kuyatafuta taratibu. nenda pia kwenye wavuti utapata maana zaidi ya moja na mifano kedekede. fanya hivyo
   
 16. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #16
  Feb 4, 2010
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  Mkuu sina kamusi na hapa nilipo ni vigumu sana kupata kamusi,na niki google kuna kuwa na kiingereza kikali sana ambacho hakinipi neno kwa maana halisi niitakayo nikajua nikiyajua maana yake kwa kiswahili itakuwa imenirahisishia ,kwani tuko Dunia mpya yenye kila vituko vipya ambavyo havikuwepo enzi zile,nilichotaka ni kujua tu kwa lugha yangu ya kiswahili na undani wa maneno hayo asante.
   
 17. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #17
  Feb 5, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,217
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  hamna shaka
   
 18. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #18
  Feb 5, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,649
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 160
  Hayo mambo mbona si mapya, yalikuwepo tangia enzi hizo.
   
 19. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #19
  Feb 7, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,847
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  Homosexual (Homosexuals) noun *******, Shoga, ******, Basha,
  Homosexual adjective Senge,

  http://www.swahilinet.com/index.php?option=com_jotloader&view=categories&cid=0_a8cc31874f9b5c3b0ddf98abe0a4f536&Itemid=60
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...