Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Kiswahili kweli si chetu. Chetu ni lugha mama. Nimeona kwenye cnn mwarabu akimwonyesha ripota. And this is "miswaki". Ya vijiti lakini. hata hili neno kumbe tumedesa!
0 Reactions
19 Replies
3K Views
jamani naomba mnisaidie kiswahili fasaha juu ya wingi wa neno albino. Mara nyingi watu wamekuwa wakiwaita walemavu wa ngozi maalbino jambo ambalo kwa mtazamo wangu naona kama sio sahihi. Mfano mtu...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wajameen!! naombo niambiwe maana ya msemo huu 'Sagasaga kachili'
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Thanksgiving is around the block Looking for a turkey to moist out my coke (sic) A turkey which has the thickest juiciest crutch (sic) Ain't you the one…my naked turkey beau? I wanna a...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
nisaidieni jamani nini maana ya item in the agenda kwa kiswahili jamani nimekwama
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wadau, mimi natatizwa kidogo na matumizi ya maneno bibi ba bwana. Ninavyofahamu, bibi na bwana inatumika kutaja watu wawili wa jinsia tofauti ambao uhusiano wao ni rasmi (i.e Mr and Mrs)...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
LAST BREATH From those around I hear a Cry, A muffled sob, a Hopeless sigh, I hear their footsteps leaving slow, And then I know my soul must Fly! A chilly wind begins to blow, Within my soul...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi mwanamme ana maana gani anaposema 'girlfriend wangu wa kike' au mwanamke anaposema 'boyfriend wangu wa kiume'.Maneno haya nakutana nayo kila mara kwenye mazungumzo na watu na nimechoka...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Matamanio yangu (kuwa fisadi) Natamani, natamani, na mimi niwe fisadi Natamani, natamani, na mimi niwe zaidi Natamani, natamani, na mimi niwe kaidi Fisadi ama kaidi, nitawaliza wandugu! Kwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari za leo wanjf,Leo ni sikukuu ya HALOOWEEN, naomba kufahamishwa tafsiri halisi ya neno HALOOWEEN kwa kiswahili, au maana yake kwa kiswahili tunaweza kufananisha na sherehe za mila ghani za...
0 Reactions
17 Replies
15K Views
NAPENDA KUANDIKA Kalamu ya risasi tosha, naandika na kufuta. Matendo yalonikosha,pia yalonikokota. Yote nayaoanisha, wazo kamili napata. Kwa njia ya ushairi, mie hupenda andika. Lugha yangu ni...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Mlio Tz naona hili neno mnalitumia sana. Nimeliona mara lukuki kwenye blog moja. Ninavyojua My= belong to me Iweje hili neno sasa linatambulishwa kwenye jamii? Utasaikia mtu akisema Jamaa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Je unakubaliana na huyu Muungwana anayeandika matumizi ya haya maneno hapo chini? Si vibaya tukapeana japo nyepesi nyepesi za lugha ya kiswahili baada ya kuonekana watu wengi kuitumia lugha hii...
0 Reactions
2 Replies
18K Views
Wapendwa, naomba ushauri kuhusu neno la Kiingereza "category". Hii ni nini kwa Kiswahili?
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Ngugu wana JF,naomba kama kuna mtu yeyote humu ndani anayejua hivi vitu kwa kiingereza vinaitwaje anisaidie,sababu nimeshahangaika mpaka nimeamua tafuta msaada kwenu,kama kuna mtu anajua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MOYO MPWEKE Ni mti uso tunda, vivyo hivyo moyo pweke, Unabakia kukonda, kulikosa tunda lake, Tena huo umepinda, wangojea siku yake, Moyo ule usopenda, huo ndio moyo pweke!! Ndege asiye kiota...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana jf nawaombeni Mnisaidie kunijuulisha kuhusu huu mji unaitwa bagamoyo au bwagamoyo? Nawaombe ni munisaidie lugha imenichanganya asanteni.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
1. Unamwita mtu usiyemjua(wala kukutana nae kabla)aunt au uncle. 2. Asilimia 90 ya CD pamoja na cassete za muziki ulizonazo nyumbani ni feki (sio original...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mtu kwao anatunzwa, hata kama hana dini, Mtu kwao anatunzwa,ili apate thamani, Mtu kwao anatunzwa, mfanowe halingani, Nyerere kweli mwalimu, kwa mengi alotufunza Uongozi msimamo, bila kutaka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Swali nawaulieni, Magwiji mnijibuni, Nimetingwa akilini, Jibu sijalibaini, Embe lisilo na kokwa, ni embe au kimbembe!?
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Back
Top Bottom