Hivi methali hii inamaana gani na hutumikaje?

mchajikobe

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
2,651
1,236
Kuna methali nimeisikia tangu utotoni lakini ukweli ni kwamba sijui maana yake wala inatumika katika mazingira gani,Hivi wana JF mnaweza nifasiria hii methali na kunipa matumizi yake?Ganda la muwa la jana,chungu kaona kivuno!Hapa mimi simjui chungu wala kivuno!!
 
Chungu ni mdudu jamii ya sungusungu, kivuno imetokana na neno vuna.
Kwamba wewe umekula muwa wako, ganda umelitupa tangu jana. Mdudu Chungu anapita leo analifakamia ganda kwa raha zake anaona kavuuuna, kumbe watu wamefaidi tangu jana yake.

Ni sawa na wewe uoe/uoelewe na mtu asiye bikira. Unafurahi umepata chombo kipya kumbe wenzako wameshafaudu tangu zamaaaaani. Hahahaha!
 
enjoy ur weekend naona na kwenye methali upo
bye
 
Chungu ni mdudu jamii ya sungusungu, kivuno imetokana na neno vuna.
Kwamba wewe umekula muwa wako, ganda umelitupa tangu jana. Mdudu Chungu anapita leo analifakamia ganda kwa raha zake anaona kavuuuna, kumbe watu wamefaidi tangu jana yake.

Ni sawa na wewe uoe/uoelewe na mtu asiye bikira. Unafurahi umepata chombo kipya kumbe wenzako wameshafaudu tangu zamaaaaani. Hahahaha!
Duu,we mtu ni noma,nilikaa gizani kwa muda mrefu mno!!!
 
Chungu ni mdudu jamii ya sungusungu, kivuno imetokana na neno vuna.
Kwamba wewe umekula muwa wako, ganda umelitupa tangu jana. Mdudu Chungu anapita leo analifakamia ganda kwa raha zake anaona kavuuuna, kumbe watu wamefaidi tangu jana yake.

Ni sawa na wewe uoe/uoelewe na mtu asiye bikira. Unafurahi umepata chombo kipya kumbe wenzako wameshafaudu tangu zamaaaaani. Hahahaha!

hahaha!!! ngriii na wewe wamo!
 
Hongera dali kwa kiswahili fasaha,mimi nilidhani huku huwa huingii upo tu kule kwenye M&M!ngoja na mimi niongezee kamfano kama ifuatavyo;
Duniani kuna watu Masikini na matajiri.wewe unaweza kuwa unamahitaji yote lakini kumbuka kuna watu ambao wanasuffer.Kuna wengine huwa wakiwa na ziada kama nguo na chakula wanatupa ovyo na kuharibu mabaki lakini kumbe kuna watoto wa mitaani,yatima na wengineo kama ungewapa nao wangesheherekea mavuno na kushukuru sana!
 
Sijawahi kujuta kukuchumbia. You are my real love.
 
Chungu ni mdudu jamii ya sungusungu, kivuno imetokana na neno vuna.
Kwamba wewe umekula muwa wako, ganda umelitupa tangu jana. Mdudu Chungu anapita leo analifakamia ganda kwa raha zake anaona kavuuuna, kumbe watu wamefaidi tangu jana yake.

Ni sawa na wewe uoe/uoelewe na mtu asiye bikira. Unafurahi umepata chombo kipya kumbe wenzako wameshafaudu tangu zamaaaaani. Hahahaha!

binamu mifano yako wewe imebezi sana kwenye mambo yetu yaleeeeee, take care siku usijetoa mifano kama hii kwa wanao!.
 
Chungu ni mdudu jamii ya sungusungu, kivuno imetokana na neno vuna.
Kwamba wewe umekula muwa wako, ganda umelitupa tangu jana. Mdudu Chungu anapita leo analifakamia ganda kwa raha zake anaona kavuuuna, kumbe watu wamefaidi tangu jana yake.

Ni sawa na wewe uoe/uoelewe na mtu asiye bikira. Unafurahi umepata chombo kipya kumbe wenzako wameshafaudu tangu zamaaaaani. Hahahaha!

Maelezo mengine yote nimeyakubali ila hapo kwenye bold hapo nimeumia mkuu. I feel offended!!!
 
na vipi ile nyingine ya bura yangu sibadili na rehani?
Bura ni aina kitambaa cha thamani ya juu na rehani ni aina ya kitambaa cha hariri ambacho ni cha thamani ya chini. Kwa maneno mengine- kitu cha thamani hakibadilishwi kwa kwa kitu kisicho na thamani.
 
Halafu kuna hii: Maskini akipata ma.ta.ko*, hulia mbwata!!!!
Kuna binadamu wengine wa na roho za kimaskini siku wakipata basi mtaa mzima watajuwa, watapita kila kibanda kujitangazia kile walichopata japo thamani yake ni duni.
 
Back
Top Bottom