Unatumia nyenzo gani kuwasilina na mtu asiye lugha yako? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unatumia nyenzo gani kuwasilina na mtu asiye lugha yako?

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Mtazamaji, Mar 2, 2010.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,971
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi swali la kizushi

  Una rafiki mchina au mfaransa hawajui lugha zaidi ya lugha zao na wewe hujui lugha zaidi ya kiswahili au kingereza utatumia nyenzo gani kuwasiliana nao kimaandishi?

  Nina hakika wengi tunafahamu kuwa google wana kamusiau kitafisir lugha mtandaoni inayomuwezesha mtu kutafsiri tovuti nzima a sentensi.au neno moja moja. Na kwa wale wasiojua basi unaweza kutumia google zaidi ya kufanya searching

  Nimekuwa natuma nyezo hii kuwasiliana na na rafiki yangu mnorway na mara ya kwanza alishtuka kuniuliza nimejifunza wapi lugha yake baada ya kumuandikia neno ambalo hakutegema kama ningelijua.

  Ingawa nyezo hii haiwi sahiii sana hasa unapotasfiri sentesi lakini mtumiaji anweza kuelewea maudhui ya sentensi fulani amabyo ilikuwa haiko katika lugha anayojua

  Kizuri zaidi sasa ndani ya kamusi au niseme mkalimani wa google wa lugha mbali mbali wameweka na kiswahili pia.

  Mfano :Nimeadika Neno " No right without resposibility"
  kwa kiswahili nimepata nimepata "Hakuna haki bila ya wajibu"
  kwa kichina nimepata "没有无权利的责任"
  kifaransa nimepata "Pas de droits sans responsabilité"
  na kihindi ni "जिम्मेदारी के बिना नहीं अधिकार"

  kati hii google language tool tranlator kuna nafasi ya kupendekeza tafsiri nzuri . Naamin kiswahili bado hakijapa tafsiri ya meneno mengi . Kwa hiyo ni jukumu letu kukuza hii lugha yetu na kutumia k google si kwa kusearch tu taarifa fulani lakini pia kutafsiri

  Tuchangie kutoa tafsiri sahihi hapo google itakuwa njia moja ya kukuza lugha yetu amabyo ni utamaduni wetu wa kujivunia

  Zaidi tembelea http://www.google.co.uk/language_tools?hl=en
  au www.google.com/language_tools?hl=en

  [/B]
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...