Habari zenu wanajamvi wa jukwaa hili la lugha, husika na kichwa cha habari hapo juu, why waungwana waliamua kukiita kibao cha mbuzi na si cha nazi? mbuzi katumikaje hapo?
Nitashukuru kwa...
mara nyingi nimekua nikifatilia habari kwenye vyombo vya habari vya kenya na hata BBC wakihariri habari wakenya hulitumia neno KUKASHIFU kama kulalamika au kupinga maamuzi au maneno yaliofanywa na...
vp kiswahili kilisanifishwa je ilichukuliwa lahaja moja ya kiswahli na kusanifishwa auwalichukua lahaja mbalimbali ikasanifishwa. kama wakuu kuna mtu atanijuza hili ntafurah sana maana katika...
Wengi tumezoea kusema "nasikia harufu fulani" wakati inafahamika kwamba hatutumii masikio kutambua harufu bali pua,je ni neno gani sahihi la kuelezea hisia hii badala ya neno "nasikia"??
Leo siku ya Jumamosi 28/6 muda kama wa saa 5.30, nilimsikia Waziri wa
Fedha Mh. Sada Mkuya aki wind up mswada wa sheria ya fedha akisema kwa kiingereza: 'I
can see a huge different.....'
Huu...
Naombeni msaada wenu, mara nyingi tumekuwa tukishuhudia na kuwaona watu wenye matatizo ya:-
Kuona > tunawaita vipofu,
Kusikia > tunawaita viziwi,
Kusema > tunawaita mabubu,
Sasa hawa watu...
Habari zenu walimu wangu wa jukwaa hili..
kuhusiana na maneno hapo juu, je ni sahihi kuyatumia? maana ni mazoea ya watu wengi sasa nikiwemo mimi huwaga napendaga kuyatumiaga
Kama sijakosea neno udhu utumiwa na ndugu zetu waislamu,nimekuwa nikidadisi kujua maana halisi ya neno hilo bila mafanikio leo naomba wana JF mnifahamishe maana ya neno udhu katika uislam.
Nasikia harufu ya chakula inapita puani
Nahisi harufi ya wali inapita puani
Naskia harufu, hata sijui ni harufu gani?
yule jamaa umeme ulimkatikia kwao
Napenda kujua kwa anayefahamu, hivi Nchi za Kiafrika kama Kenya, Uganda, Zambia, Nigeria, Ghana Malawi n.k zinastahili kuitwa kwamba ni nchi zinazoongea Kiingereza (English Speaking Countries)...
Wadau, nimesikia kutoka kwa watu kadhaa na kusoma kwenye vyombo vya habari neno la kiingereza 'FOOD SECURITY' likitafsiriwa kuwa ni USALAMA WA CHAKULA. kwangu mimi hii si maana halisi ya FOOD...
weka mawazo yako ktk haya:
aibu ni nini?
nini chanzo cha aibu?
binadamu anaanza kuwa na aibu wakati gn?
ni kweli mtu alierukwa na akili hana aibu?
kuna namna yyt ya kumfanya asie na aibu awe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.