Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Wasakatonge ni kina nani?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wenyeviti wa kamati mbalimbali za Bunge Maalumu kila wawasilishapo ripoti nawasikia wakisema:'Maelezo zaidi yapo kwenye bango kitita. Bango kitita maana yake nini?
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Hili neno 'ugatuzi' huwa nalisikia sana kwenye vyombo vya habari vya Kenya lakini sijui maana yake. Naomba kuelimishwa.
0 Reactions
10 Replies
23K Views
Niaje Wazeiya wa JLL? Ebwana kuna msemo nausikia sana kwenye social network yani "KWAFASI YA DWASI" hivi una maana gani na ni lugha ya wapi?
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakuu naombeni tafisiri ya maneno haya 1.Adventure-adventurous trip /journey 2.Courtesy-courtesy visit Natanguliza shukrani wakuu
0 Reactions
2 Replies
984 Views
Jamani msaada naomba kujua maana ya istilahi na mifano yake,
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hallo Wana JF. Natumai humu ndani kuna linguists,watakao weza kung'amua utumiaji sahihi wa haya Maneno katika lugha hii ya Ki-Ingereza inayosadikika kuwakimbiza Mchaka-Mchaka Watanzani...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Mume alipitia bar kunywa pombe,alipo rudi nyumbani mke akawa mkali akimwambia mumewe sikufungulii mlango urudi ulipo kua,kwa bahati mbaya au nzuri pembeni kulikua na shimo:nailikua hivi.= Mume...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji kujuzwa maana ya haya maneno na tofauti zake tafadhari bila shaka hapa ndio mahali penyewe hususani katika kujifunza lugha
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Taja neno lolote la kiswahili linalo ishia na silabi FO isipokuwa kifo na fofofo.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimuda sasa tumekuwa tuna kalilishwa kuwa lugha ya Taifa ni kiswahili,lakini kitu cha kusikitisha ni kwamba serikali yenyewe imeshindwa kukitumia kiswahili kama lugha yake ya wasiliano kati yake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naomba kujuzwa maana ya neno PUNGA....
0 Reactions
6 Replies
11K Views
Habari za wakati huu wana jukwaa? Nina jambo linanitatiza kidogo wana jukwaa ninaomba msaada wenu ili niondoe mkanganyiko huu kichwani. Hivi kuna tofauti gani kati ya kulala na kusinzia? Nategemea...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Wakuu naombeni tafisiri ya neno hili :Awesome" mfano :-I'm awesome My GOD is awesome Natanguliza shukraniani
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Nikiangalia taasisi zote za Serikali na zile za binafsi wamekuwa wakitumia lugha ya kingereza kama ndiyo lugha ya taifa. ndiyo maana sikipendi kiswahili ingawa ni lugha ninayotumia. kwa sababu...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nikiwa mtumiaji mkubwa wa usafiri wa daladala mkoani Kilimanjaro nilianza kulisikia hili neno likitumiwa sana na makondakta wa daladala. Nilisikia sana usemi huu: "Haya, panda fasta wale wa Kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwenye redio na tv nimesikia watu wakitumia sana hili neno 'either' kwenye mazungumzo, akimaanisha 'ama.....au....' Mtu atasema hivi: "Umaskini wetu unaletwa na either uvivu wetu au kutowajibika...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
msaada wana jf nina ka certificate kangu nikaambiwa nitume barua sehemu kwa Chief Executive Officer CC au ATT human resource manager. ndo naandikaje barua kwa mtindo huu?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana JF! Nimerudi kwa mara nyingine mwenzangu kuhitaji tafsiri hizi, -HAGGLE -SLUMP -PAMPA -HUMPER -TEMPER -ABIDE Shukrani za dhati kwenu!
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari zenu wana lugha wenzangu Yaani nilikuwa nazurura zurua katika mtandao likanijia wazo kuna siku tulikua tukubishana kuh msemo mmoja wa kisw. wengine walisema ndo! ndo ndo si chururu na mimi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom