Wakuu naombeni tafisiri ya maneno haya-
1.Tensed" mfano:- He looks very tensed
2. Indulgence
Natanguliza shukrani kwenu
tense
Neno ni tense (siyo tensed). He looks tense.
Sio rahisi kutafsiri kwa urahisi lakini labda maana yake inakaribia maana ya tukutu kwa Kiswahili.
indulgence
Tena siyo rahisi kutafsiri. Inategemea kabisa na muktadha.
1. Kujipendeza: kufanya kitu kupita kiasi kwani unataka kujipendeza.
He has eaten 5 mangos by himself! What indulgence!
2. Endekeza
(3. Kumwonea mtu rehema)
Wengine wanaweza kuongeza au kusahihisha!