Kuna jamaa yangu (research scientist) alikuja hapa nchini akafanya kazi Mikoa ya Mwanza na Shinyanga. katika mambo aliyojifunza Tanzania ilikuwa ni pamoja na lugha ya kibantu ijulikanayo kama...
Is it possible that every denomination is right?
Je, inawezekana kwamba kila madhehebu ni sahihi?
Au, Je, kuna ukweli kwamba madhehebu yote ni sahihi? Ni sahihi kusema madhehebu haya au hii...
Huwa nachukia sana ninaposoma na kukutana na maneno haya
Lula badala ya Rula
Mologolo-morogoro
Foreni-Foleni
Ugari-Ugali
Kula-Kura
Nimekuwa nikijiuliza tatizo ni nini kwa watu kama hawa
Nashauri...
Huu msemo unatumika sana pale mtu anapotaka kuweka taswira ya kuponda raha/maisha kwa kusema 'anakula bata'.
Je, katika utamaduni wetu sisi watanzania bata ana nafasi gani? Kwa nini haikuwa kuku...
Miradi ya tovuti (website) si mingi sana hapa nchini ukilinganisha na mataifa yaliyoendelea kiteknolojia. Bado watumiaji wengi wa mtandao hutembelea mitandao ya nje kama vile Facebook, Twitter na...
Kwa hali halisi ilivyo sasa,lugha ya kiswahili kutowekewa misingi mizuri ya kukua na kuenea kwake kama ilivyokua miaka kadhaa baada ya uhuru,..baada ya miaka 10 ijayo asilimia kubwa ya watz...
Wakuu,
Kuna baadhi ya nchi ambazo hujulikana kwa kiingereza kwa jinsi zinavyojulikana;lakini nchi hizo pia katika llugha yetu adhimu ya Kiswahili unakuta zinaitwa majina tofauti.Mfano nchi kama...
mimi ni mwanalugha hasa lugha ya kiswahili .
kwa sasa naona fursa za kufundisha lugha kwa wageni kwetu hapa adimu sana.
hivyo nataka nikasome mastez yake kenya na nitafute huko fursa. mwenye...
Tanzania to open Kiswahili teaching offices in foreign countries
Traders sell their wares in Arusha, Tanzania. Kiswahili has been one of the unifying factors of Tanzanians and is currently...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.