hii ni sehemu ya pili ya shairi nilotunga kumkumbuka Meja KHATIBU MSHINDO.
5)ULIITAMANI HAKI,WATU WAISHI KWA AMANI.
WAISHI BILA MIKIKI,NDO FURAHA DUNIANI.
ROHO YAKO ITABAKI,TWAKUMBUKA MAISHANI...
HILI NI SEHEMU YA KWANZA YA SHAIRI NILOTUNGA KUKUMBUKA KIFO CHA MEJA KHATIBU MSHINDO,ALIYEFARIKI AKILINDA AMANI NCHINI CONGO.
1>ILIKUWA MACHI MOJA,ULIPOJIUNGA JESHINI.
TENA KWA MOYO...
Umofia Kwenu wana JF,
Kuna neno "Boma" huwa linatumika sana hapa kwetu tanzania wakimaanisha ni jengo chakavu au pagale! Boma kwanza si neno la kiswahili bali ni kifupisho cha British Overseas...
Ndugu zangu hapa Dar ni chuo gani au kituo gani kinafundisha vizuri lugha ya kiingereza 'english course' cha kuongea na kuandika.
Maana naona matangazo mengi sana mitaani, redioni na tv kuhusu...
Kibanda umiza - is a local cinema where all movies are translated live to Kiswahili by a DJ, so that the audience can understand.
Baobonye - Keyboard
Neno au msemo gani wa Kiswahili uliouona...
Miongoni mwa vyombo vya habari vyenye weledi usio na shaka katika habari zake ni BBC Swahili. Nami nimekuwa msikilizaji na msomaji wa chombo hiki kwa muda mrefu sasa hasa nyakati za asubuhi na...
Ziwe mbili au tatu, Hilo Bado mgogoto,
Nina mengi nawazua, wa kunifumbua hola,
Na hata akitokea, Heko yake nitampa,
Ziwe mbili au tatu; Serikali Tanzania?
Tume yake Warioba, Maoni ilikusanya...
Kila lugha ina maneno fulani yanayosumbua wanaojifunza hiyo lugha. Nimegundua katika Kiingereza yapo haya maneno yanayotumiwa vibaya na baadhi ya watu kama ifuatavyo:
their, there, they are...
Salaam wana JF!
Kuna hili tatizo ambalo nimeliona katika jamii yetu (humu JF) na kwenye mitandao mingine ya kijamii. Nalo ni la kuchanganya matumizi ya maneno 'lose' na 'loose'. Haya maneno ya...
Mambo,
Ningependa kuuliza maswali kuhusi misamiati ya kutengenza magari. Mimi ni msomaji wa kiswahili lakini nimeshindwa kuwaelezea mafundi shida zangu. Kwa mfano naomba usaidizi ya kutafsiri...
Kuna jamaa yangu (research scientist) alikuja hapa nchini akafanya kazi Mikoa ya Mwanza na Shinyanga. katika mambo aliyojifunza Tanzania ilikuwa ni pamoja na lugha ya kibantu ijulikanayo kama...
Is it possible that every denomination is right?
Je, inawezekana kwamba kila madhehebu ni sahihi?
Au, Je, kuna ukweli kwamba madhehebu yote ni sahihi? Ni sahihi kusema madhehebu haya au hii...
Huwa nachukia sana ninaposoma na kukutana na maneno haya
Lula badala ya Rula
Mologolo-morogoro
Foreni-Foleni
Ugari-Ugali
Kula-Kura
Nimekuwa nikijiuliza tatizo ni nini kwa watu kama hawa
Nashauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.