Msaada tafadhari

MKONGORO

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
325
263
Wakuu naomba msaada wa tafisiri ya maneno haya kwa kiswahili
1.Rhetoric-
2.Tramatize-
Natanguliza shukrani
 
rhetoric ni kusema kwa kutia madoido au kutia chmvi katika usemaji (balagha)
tramatize -uzi wa uhariri
nadhani ntakuwa nimekusaidia kwa kiasi fulani kwa sababu mara nyingi maneno hutumika kulingana na mazingira hivyo sijajua upo katikamazingira yapi bt hiyo ni maana ya jumla au msingi
 
Wakuu naomba msaada wa tafisiri ya maneno haya kwa kiswahili
1.Rhetoric-
2.Tramatize-
Natanguliza shukrani


Rhetoric = mathalani, ni msemo tu (just saying), kwa maelezo mengine, etc.

Tramatize (Traumatize) kutokana na neno TRAUMA (mshituko), kushtushwa, kudhalilishwa, kuumbuliwa, nk.

Zinaweza kuhitaji nyongeza au masahihisho.
 
Back
Top Bottom