Pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosis 
Hili kama lipo halitahesabika ni la kiingereza bali la kitaalam(professional) sababu hata mtu wa kawaida hawezi kuwahi kulisikia au kuelewa lina maana gani. Pili ni neno kama vile limechanginyika na lugha tatu(engl,Latin [italian],Greek)
Wadau wa hili jukwaa naomba kama kuna mwenye kulijua neno refu kuliko yote la kiingereza anisaidie
It's a lung disease, kwahiyo maneno ya kitaalamu sio kingereza?
Wadau wa hili jukwaa naomba kama kuna mwenye kulijua neno refu kuliko yote la kiingereza anisaidie
Neno refu ni dictionary limeanzia A hadi Z.