MKONGORO JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 345 Reaction score 307 Jun 24, 2014 #1 Wakuu Nikitaka kuuliza hivi kwa kimombo nitasemaje? Hii ni lugha yako ya ngapi? natanguliza shukrani
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 59,308 Reaction score 134,755 Jun 25, 2014 #2 MKONGORO said: Wakuu Nikitaka kuuliza hivi kwa kimombo nitasemaje? Hii ni lugha yako ya ngapi? natanguliza shukrani Click to expand... kimombo kuna 'hii ni lugha yako ya kwanza?' au 'lugha yako ya kwanza ni nini?' is this your first language? what is your first language?
MKONGORO said: Wakuu Nikitaka kuuliza hivi kwa kimombo nitasemaje? Hii ni lugha yako ya ngapi? natanguliza shukrani Click to expand... kimombo kuna 'hii ni lugha yako ya kwanza?' au 'lugha yako ya kwanza ni nini?' is this your first language? what is your first language?
MKONGORO JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 345 Reaction score 307 Jun 25, 2014 Thread starter #3 RRONDO said: kimombo kuna 'hii ni lugha yako ya kwanza?' au 'lugha yako ya kwanza ni nini?' is this your first language? what is your first language? Click to expand... Mkuu nashukuru sana kwa msaada wako
RRONDO said: kimombo kuna 'hii ni lugha yako ya kwanza?' au 'lugha yako ya kwanza ni nini?' is this your first language? what is your first language? Click to expand... Mkuu nashukuru sana kwa msaada wako
Francis Dhuo Member Joined Feb 25, 2014 Posts 87 Reaction score 13 Jul 5, 2014 #4 itakuwa hivi....'this is how your language?'