Tunamwitaje mtu ambaye hana uwezo wa kunusa

Oct 22, 2013
38
0
Naombeni msaada wenu, mara nyingi tumekuwa tukishuhudia na kuwaona watu wenye matatizo ya:-
Kuona > tunawaita vipofu,
Kusikia > tunawaita viziwi,
Kusema > tunawaita mabubu,
Sasa hawa watu ambao hawawezi kuhisi harufu yeyote ile (pua zao hazina uwezo wa kunusa) tunawaitaje?
 
Usahihi: hatuhisi harufu Bali tunanusa harufu. Ni kazi ya pia kunusa, ngozi kuhisi. Kuhusu swali lako, sina jibu.
 
Back
Top Bottom