Is half empty or half full?

sembo

JF-Expert Member
May 25, 2011
4,350
3,451
Watalamu wa lugha glasi iliyojaa maji nusu, tunaitamkaje katika lugha ya kingereza?
 
Huo usemi haukumaanisha kuangalia ujazo per ce. Ilimaanisha kuongelea mtazamo.

kutegemea na mission yako, kama nia yako ni kujaza glass, nasi it is half full. Kama nia ni kuondoa maji, it is half empty.
 
Watalamu wa lugha glasi iliyojaa maji nusu, tunaitamkaje katika lugha ya kingereza?

Pia upo msemo kwa Kiingereza:

His glass is always half empty! = Maana ya msemo huo inahusu mtu anayeangalia kila kitu bila matumaini
na kwa hiyo bila furaha.

= Katika kila kitu anatarajia matokeo mabaya.

His glass is always half full! = Yeye ni mwenye msimamo wa kutegemea mazuri.

= Anaangalia kila tukio kwa matumaini na kwa hiyo kwa furaha.

(Sijui kama Kiswahili changu ni kizuri sana lakini nafikiri utaweza kuelewa!)
 
  • Thanks
Reactions: kui
Watalamu wa lugha glasi iliyojaa maji nusu, tunaitamkaje katika lugha ya kingereza?[/QUOTEmr]
mr. sembo ukisema glasi iliyojaa = full, nadhani ni bora tukisema "glasi iliyo na maji nusu" yote ni majibu sahihi though watu hupendelea kutumia half full but hiyo huchagizwa na attitude ya mtumiaji kuonesha uwingi wa maji, ama udogo wake atatumia half empty.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom