Megawatt B
JF-Expert Member
- Aug 23, 2011
- 259
- 69
Wadau, nimesikia kutoka kwa watu kadhaa na kusoma kwenye vyombo vya habari neno la kiingereza 'FOOD SECURITY' likitafsiriwa kuwa ni USALAMA WA CHAKULA. kwangu mimi hii si maana halisi ya FOOD SECURITY katika muktadha wamasula ya Kilmo bali ni UHAKIKA WA CHAULA. Kuna yeyote mwenye maoni tofauti?