Internet cafe

makubazi

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
2,048
1,195
Ooyooo mi nakimbilia dala dala na vuta subira wanakuja sasa hivi nwapo kwa muuza kahawa na kashata
 

terasy

JF-Expert Member
Apr 11, 2013
466
250
Jaman mgahawa wa mtandao hahaha h tafsir hii imenpa sababu ya kutabasam
 

Francis Dhuo

Member
Feb 25, 2014
87
0
Internet ni neno la ki-spanish lenye maana ya biashara ya..(toholewa kwenda kwenye kiingereza--international network) lakini pia neno cafe ni la ki-dutch( pia ni toholewa kwenda kwenye kiingereza--cafe) kwa hiyo kwa kutumia vyanzo vyake halisia yaani ki-spanish na ki-dutch naweza sema kwamba -internet cafe- maana yake kwa kiswahili ni biashala ya cafe
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Similar Discussions

Top Bottom