Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,110
- 37,645
weka mawazo yako ktk haya:
nimewamiss sana!
- aibu ni nini?
- nini chanzo cha aibu?
- binadamu anaanza kuwa na aibu wakati gn?
- ni kweli mtu alierukwa na akili hana aibu?
- kuna namna yyt ya kumfanya asie na aibu awe na aibu?
- kuna uhusiano gn kati ya aibu na akili? ni sahihi kuwa aibu ni kiashirio cha kuwepo kwa akili?
- kwa nini wanawake wana aibu kuliko wanaume?
nimewamiss sana!