Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,904
- 50,820
Haya maneno mawili hunipa shida sana kwenye kuyatumia. Hebu nisaidieni kuhusu matumizi yake. Kwa mfano "jambo hili ni kwamba" au "jambo hili ni kuwa" sentensi hizo zina maana tofauti? Nataka nisaidiwe ni wakati gani sahihi neno "Kwamba" au "kuwa" linatumika?