MAJIPU BUBU.
1) Kwenye msiba wa mamba chura samaki na wamo.
Wapo wakusoma namba,kambale changu na yumo.
Kimya kupiga jaramba,bubu haoni mvumo.
Yote ni majipu bubu,ngoja yaive uone
2) Jipu...
NIJUA KAA LA MOTO.
1)Ni jivu linatutisha,vipi tunadhani moto.
Ni figa lajisafisha,lije kutoa uoto.
Ten linajing'arisha,liwe mweupe uroto
Nijua kaa la moto,kumbe jivu la baridi
2)kumbe...
Je wewe waweza kuzungumza kwa ufasaha lugha ngapi? Lugha mbili?(ya kabila lako na kiswahili?) Lugha tatu? (ya kabila lako, kiswahili na kiingereza?) Lugha nne? (ya kikabila, kiswahili, kingereza...
Unapojua ukweli, kisha sikiza urongo,
Ni raha utakubali, kumsikiza mrongo,
Mara lile mara hili, ushasoma lake lengo,
Tulia mwanangu tuli, sijaribu toa nyongo.
Mwana sikiza urongo, zingatia ilo...
JESHI LA WABUGURUSI.
1)Awakarimu manani,mola wetu wa mbinguni.
Awape nyingi imani,na amani za nyoyoni.
Mzidi kumuamini,namumtie rohoni.
Jeshi la wabugurusi,lisonge mbele zaidi.
2)makamanda...
1)natamani niseme,shida sheria bandia.
Kama kivuli cha umeme,kesi watakupatia.
Wakuone paka shume,eti tusi kuwambia.
2)natamani wajue,maisha kufikiria.
Hata kama wajiue,hakuna wakuwaokoa...
Habari wana wa Nyerere?
Hilo neno huwa linamaanisha nini? Maana watu wakiwa wanaongea utaskia kwa mfano wanasema haya ni mabasi ya mikoani, au...mizigo ya mikoani. Nk.
Tabia hii IPO sana hapa...
Mtunzi mariama ba:
Madhari:senegal
hiki ni kitabu kina cho zungumzia ukombozi wa mwanamke katika jamii siyo tu katika nchi ya senegali bali dunia nzima kwa ujumla hivyo...
Naomba maneno yafuatayo mnisaidie kuniandikia matamshi yake kwa kihaya. NAKUPENDA SANA MPENZI WANGU, NAOMBA UNIOMBE RADHI KWA MANENO YAKO MABAYA ULIYONITAMKIA ILI TUWEZE KUWA PAMOJA. NA KAMA...
Waswahili wengi hufikiri kwamba hakuna maana halisi ya computer na badala yake wanatohoa neno hilohilo nakuandika "Kompyuta". Hivyo ni makosa maana halisi ya Computer ni neno "NGAMIZI" na kwa...
KASI YA MAGUFULI IMEWAPOTEZEA DIRA YA UKAWA.
Tangu rais Magufuli aanze kututumikia kama rais amefanya mambo mengi na karibu mambo yote hayo yamekuwa yakipingwa na UKAWA.
Rais alianza kufukuza...
Naomba kueleweshwa maana ya neno Ujasusi manake kuna Thread humu inaelezea ujasusi nnchini wengine tumetoka kapa, hili neno geni kwetu, au mwenye tafsiri yake kiingererza ili tuligoogle. Nashukuru.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.