Ziltan JF-Expert Member Aug 20, 2011 2,672 6,872 Mar 15, 2016 #1 Ikiwa mbuzi dume huitwa beberu, Kukudume huitwa jogoo, nk, Je huyo paka dume huitwaje?
M Mr. G Senior Member Jan 10, 2015 115 45 Mar 18, 2016 #3 Na punda dume je? Dume la bata huitwa gegedu
Mr Antidote JF-Expert Member Jan 11, 2015 952 1,293 Apr 2, 2016 #8 Kavishei said: Na ng'ombe dume je?? Click to expand... Fahali/Fahari.....sina hakika kiuandishi ipi ni sahihi kati ya maneno hayo mawili. Rejea: Fahari/Fahali wawili hawaishi zizi moja
Kavishei said: Na ng'ombe dume je?? Click to expand... Fahali/Fahari.....sina hakika kiuandishi ipi ni sahihi kati ya maneno hayo mawili. Rejea: Fahari/Fahali wawili hawaishi zizi moja