Mr IQ JF-Expert Member Jun 23, 2015 993 1,326 Mar 19, 2016 #1 Wakuu neno hili nalisikia kwa wasanii wengi wa bongo fleva lakini cjawai pataa maana yake natumaini mna lifahamu "" AIYOLA""
Wakuu neno hili nalisikia kwa wasanii wengi wa bongo fleva lakini cjawai pataa maana yake natumaini mna lifahamu "" AIYOLA""
dansmith JF-Expert Member Dec 21, 2013 2,305 2,095 Mar 20, 2016 #2 Du hâta Mr IQ unaomba msaada haya ngoja waje
moghasa JF-Expert Member May 7, 2013 1,084 1,253 Mar 27, 2016 #3 wasanii wametumia neno IYOLA kama jina!! na kwa kawaida jina maranyingi maana ya jina haiambatani na mwonekano wa kitajwa!
wasanii wametumia neno IYOLA kama jina!! na kwa kawaida jina maranyingi maana ya jina haiambatani na mwonekano wa kitajwa!