Maana ya neno "addiction" kwa Kiswahili

Maana ya neno "addiction" kwa Kiswahili

Colea911

Member
Joined
Jul 20, 2014
Posts
24
Reaction score
5
Je, Kuna neno moja kumaanisha "addiction" au "addict" kwa kiswahili? Kwa mfano ni kama mtu ambaye huwa anahitaji kilevi au kitu chengine sana na hawezi kataa kisaikolojia. Bado natafuta neno. Naomba usaidizi.
 
hapo nishsike kipi wajameni uraibu ama teja

vyema kuweka chanzo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom