moghasa JF-Expert Member May 7, 2013 1,084 1,253 Mar 17, 2016 #2 Carrick said: Mende na kinyonga Click to expand... haayana visawe
Carrick Member Mar 9, 2016 11 3 Apr 1, 2016 Thread starter #4 Rudbway said: Visawe ndo mdudu gan Click to expand... Visawe maana Yake ni maneno yenye maana sawa au maana zinazokaribiana mfano ukisema beseni/karai
Rudbway said: Visawe ndo mdudu gan Click to expand... Visawe maana Yake ni maneno yenye maana sawa au maana zinazokaribiana mfano ukisema beseni/karai