(HOT) Njoo Tutengeneze Tongue Twister za Kiswahili!

Pilipilihoho

JF-Expert Member
Jan 29, 2016
202
145
Habari wapendwa wana-JF,
Mimi siku hizi nimefikwa na wazo la kutengeneza tongue twisters,
sasa ni mkusanyiko wangu kutoka mtandao lakini ziko rahisi mno.
naomba tuchemsha bongo pamoja na kuziunda.

5531730919202.jpg


Mbuzi hali nazi kwa vile hawezi kupanda ngazi ndipo azifikie nazi.

Katibu Kata wa Kata ya Mkata amekataa katakata kukata miti katika kata ya Mkata.

Wale wari wa liwali wale wali wa liwali.

Kipi kikusikitishacho?

Karim ni mkarimu na ana karamu.


Kale kakuku kadogo ka kaka kako wapi kaka?

Mkaidi hafaidi hadi siku ya Idi.




 

Similar Discussions

Back
Top Bottom