Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,492
- 4,770
Thamani ya Samahani.
1)mbona tendo dogo kumbe,vipi lipigwe na nondo.
Ama ni funika kombe,yafa mafunzo ya jando.
Au macho ya kinyambe,kuona ona mafundo.
Hivi neno samahani,halina tena samani.
2)vipi mbona twalitupa.
Akili inalitenga.
Kisa imeshikwa tupa.
Kunolewa kwa kipenga.
Tuachezo wanadamu,sote wana wa adamu.
3)vipi hivyo tujipambe,kisa twa kono la nyundo.
Tuiache na itambe,tusizing'ang'ane tindo.
Ama mpaka na iimbe,ndipo tujue si lindo.
Hivi neno samahani,halina tena thamani.
4)tulyache liende zake.
Likajifie kivyake ?.
Ama mdomo na tucheke.
Na kimya kiungulike.
Tuthamini samahani,irudi yake thamani.
Shairi=THAMANI YA SAMAHANI (2).
mtunzi=Idd Ninga wa Tengeru Arusha.
iddyallyninga@gmail.com
+255624010160
1)mbona tendo dogo kumbe,vipi lipigwe na nondo.
Ama ni funika kombe,yafa mafunzo ya jando.
Au macho ya kinyambe,kuona ona mafundo.
Hivi neno samahani,halina tena samani.
2)vipi mbona twalitupa.
Akili inalitenga.
Kisa imeshikwa tupa.
Kunolewa kwa kipenga.
Tuachezo wanadamu,sote wana wa adamu.
3)vipi hivyo tujipambe,kisa twa kono la nyundo.
Tuiache na itambe,tusizing'ang'ane tindo.
Ama mpaka na iimbe,ndipo tujue si lindo.
Hivi neno samahani,halina tena thamani.
4)tulyache liende zake.
Likajifie kivyake ?.
Ama mdomo na tucheke.
Na kimya kiungulike.
Tuthamini samahani,irudi yake thamani.
Shairi=THAMANI YA SAMAHANI (2).
mtunzi=Idd Ninga wa Tengeru Arusha.
iddyallyninga@gmail.com
+255624010160