Ukipita kila kona nchi hii utakuta asilimia 90 ya maduka ya vifaa vya ofisini yameandikwa Stationary badala ya Stationery..sijajua tatizo nini, ebu jaribu anza kutafiti nawe utaliona ilo..
Used photocopy machine kwa bei poa na zipo vizuriUkipita kila kona nchi hii utakuta asilimia 90 ya maduka ya vifaa vya ofisini yameandikwa Stationary badala ya Stationery..sijajua tatizo nini, ebu jaribu anza kutafiti nawe utaliona ilo..
Used photocopy machine kwa bei poa na zipo vizuriUliyobaini ni kweli Stv Mkn. Tatizo hapa ni ufahamu mdogo wa lugha zenye wenyewe. Ipo mifano mingi
ya uwelewa mdogo wa hii lugha ya Kiingereza. Kwa mfano ukienda vituo vikuu vya mabasi Moshi, Arusha na Ubungo Dsm, chumba cha kutunzia mizigo ya wasafiri huitwa Booking! Utasikia wanasema: "Huu mzigo peleka buking bwana!"
Na nimeshaona pia kama neno la kiingereza lina herufi 's ' mwishoni lazima apostrophe iwekwe kabla ya
herufi s. Kwa hiyo utaona maneno kama haya: chair's, table's nk. Wapo watu wanaopenda kutumia kiingereza kuonyesha
ufahari bila kuwa na ufahamu mzuri wa lugha hiyo.
Tumeazima hayo maneno na kisha kuyageuza kwa kuyavalisha maana yetu sisi tunayoelewana! Originally, ni maneno ya kizungu ila tumeuageuza yamekuwa ya kiswahili.Uliyobaini ni kweli Stv Mkn. Tatizo hapa ni ufahamu mdogo wa lugha zenye wenyewe. Ipo mifano mingi
ya uwelewa mdogo wa hii lugha ya Kiingereza. Kwa mfano ukienda vituo vikuu vya mabasi Moshi, Arusha na Ubungo Dsm, chumba cha kutunzia mizigo ya wasafiri huitwa Booking! Utasikia wanasema: "Huu mzigo peleka buking bwana!"
Na nimeshaona pia kama neno la kiingereza lina herufi 's ' mwishoni lazima apostrophe iwekwe kabla ya
herufi s. Kwa hiyo utaona maneno kama haya: chair's, table's nk. Wapo watu wanaopenda kutumia kiingereza kuonyesha
ufahari bila kuwa na ufahamu mzuri wa lugha hiyo.
Ukipita kila kona nchi hii utakuta asilimia 90 ya maduka ya vifaa vya ofisini yameandikwa Stationary badala ya Stationery..sijajua tatizo nini, ebu jaribu anza kutafiti nawe utaliona ilo..
Na Kiswahili chake ni nini? Maana kila sehemu linaandikwa kwa kiingereza.Ukipita kila kona nchi hii utakuta asilimia 90 ya maduka ya vifaa vya ofisini yameandikwa Stationary badala ya Stationery..sijajua tatizo nini, ebu jaribu anza kutafiti nawe utaliona ilo..