Unajua maana ya "FORODHA"?

Unajua maana ya "FORODHA"?

bomouwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,149
Reaction score
800
Habari wanajamvi?
Tumekua walipakodi wazuri na pengine kusikia kitu kinaitwa "USHURU WA FORODHA"
Je,maana ya hili neno "FORODHA" ni nini?
Asante
 
Forodha au Customs ni mahali vitu vinapoingilia kutoka nchi za nje kama vile mipakani, bandarini, viwanja vya ndege.

Kwa wale wanaoruka kwa ungo (wachawi) huwa hawana FORODHA 😉😀
 
lakini si mahali hasa (matumizi haya yako pia: nyumba ya forodha..) ni zaidi idara au ofisi inayoangalia bidhaa zinazoingia na kutoka nchini na kudai malipo. Ushuru ni zaidi pesa au kiasi cha pesa inayodaiwa na serikali kwa kibali cha kupeleka bidhaa maalumu ndani au nje ya nchi-
 
Back
Top Bottom