Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,205
- 4,403
Hudi huda adil haji.
1)mwanzo wa kale zamani,ni ngano za kilingeni.
Kale sasa si thamani,kwa jamii za tumboni.
Tungo tata matatani,manju bwana ulingoni.
Hudi huda adil haji,zama zamu zamzam.
2)aljabalu kadiani,bwana kheri shairani.
Juzi tu jukwaani,dhufuli hali mtani.
Kisa yule kusirani,muhamaji kikaoni.
Hudi huda adil haji,zama zamu zamzam
3)furaha ya hamdani,mwisho we gahawani.
Halawa kula zafarani,kimya ka kia la nyani.
Pole i samahani,najua ye yu sikoni.
Hudi huda adil haji,zama zamu zamzam.
4)fimbo mo machungani,simuoni jukwaani.
Mbwmbwe tamu wa juani,walaji vipi gizani.
Hudi huda adil haji,zama zamu zamzam.
5)kawatia kaangoni,waiva kama kunguni.
Mvunjaji akili,mafulusu ya kazini.
Hudi huda adil haji,zama zamu zamzam.
6)Macho ya mwona pembeni,hayaponi kwa miwani.
Yajali pesa na nini,mafulusi mifugoni.
Poleni ila lakini,kawashika viganjani.
Hudi huda adil haji,zama zamu zamzam.
Shairi=hudi huda adil haji
Mtunzi=Idd Ninga wa Tengeru Arusha
+255624010160.
iddyallyninga@gmail.com
1)mwanzo wa kale zamani,ni ngano za kilingeni.
Kale sasa si thamani,kwa jamii za tumboni.
Tungo tata matatani,manju bwana ulingoni.
Hudi huda adil haji,zama zamu zamzam.
2)aljabalu kadiani,bwana kheri shairani.
Juzi tu jukwaani,dhufuli hali mtani.
Kisa yule kusirani,muhamaji kikaoni.
Hudi huda adil haji,zama zamu zamzam
3)furaha ya hamdani,mwisho we gahawani.
Halawa kula zafarani,kimya ka kia la nyani.
Pole i samahani,najua ye yu sikoni.
Hudi huda adil haji,zama zamu zamzam.
4)fimbo mo machungani,simuoni jukwaani.
Mbwmbwe tamu wa juani,walaji vipi gizani.
Hudi huda adil haji,zama zamu zamzam.
5)kawatia kaangoni,waiva kama kunguni.
Mvunjaji akili,mafulusu ya kazini.
Hudi huda adil haji,zama zamu zamzam.
6)Macho ya mwona pembeni,hayaponi kwa miwani.
Yajali pesa na nini,mafulusi mifugoni.
Poleni ila lakini,kawashika viganjani.
Hudi huda adil haji,zama zamu zamzam.
Shairi=hudi huda adil haji
Mtunzi=Idd Ninga wa Tengeru Arusha
+255624010160.
iddyallyninga@gmail.com