Asili ya neno kutumbua

Dazzle 2

Senior Member
Oct 9, 2015
125
71
Neno hili maarufu katika utawala wa Dr Magufuli lina historia ndefu sana. Neno hili lilitumika tangu enzi za Agano la Kale. Ukisoma kitabu cha Nabii Zakaria 13:3 utaona jinsi watu waliokuwa wakitabiri na kusema uongo walivyofanywa. Mstari huo unasema;

"Tena itakuwa ya kwamba, mtu
awaye yote atakapotoa unabii, basi
baba yake na mama yake
waliomzaa watamwambia,
Hutaishi; kwa maana unanena
maneno ya uongo kwa jina la
BWANA; na baba yake na mama
yake waliomzaa watamtumbua
atoapo unabii"
 
Back
Top Bottom