manSniper JF-Expert Member Sep 9, 2015 814 679 May 7, 2016 #1 Ukipita kila kona unakuta msemo ''Huu mchezo hauhitaji hasira'' Hii slogan imeshika watu kitaa.
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Nov 25, 2010 62,197 128,127 May 7, 2016 #2 Clouds walijiona wao ndiyo kila kitu. Safi sana E.FM
Senior Lecturer Senior Member Jan 19, 2013 177 74 May 7, 2016 #3 Na bado! Uzuri ni kwamba "Huu mchezo hautaki hasira"
manSniper JF-Expert Member Sep 9, 2015 814 679 May 7, 2016 Thread starter #4 aka2030 said: huu mchezo hauitaji hasira Click to expand... kweli huu mchezo hauhitaji hasiraaaaaaaa
chendelela JF-Expert Member Mar 22, 2015 1,145 1,007 May 7, 2016 #5 Haswa huu mchezo hauhitaji hasira
comred JF-Expert Member Jan 17, 2011 1,867 1,604 May 7, 2016 #6 Hahahaa.. Nawakubalii sana E.FM.. Kweli huu mchezo hauhitaji hasiraaaaaaaa
Leonard Robert JF-Expert Member Apr 22, 2011 11,093 7,330 May 7, 2016 #7 Fikeni japo mwanza..tumewachoka hawa klausi
manSniper JF-Expert Member Sep 9, 2015 814 679 May 7, 2016 Thread starter #8 sebo maeneo ya mbezi akiongea na bodaboda yupo njian kuelekea kibaha mail moja kwenye shika ndinga
Senior Lecturer Senior Member Jan 19, 2013 177 74 May 7, 2016 #9 Leonard Robert said: Fikeni japo mwanza..tumewachoka hawa klausi Click to expand... wasikilize hata kupitia azam king'amuzi mkuu
Leonard Robert said: Fikeni japo mwanza..tumewachoka hawa klausi Click to expand... wasikilize hata kupitia azam king'amuzi mkuu