Watu wanachanganya

Rudbway

JF-Expert Member
Jul 14, 2014
294
157
Shikamoo kiswahili!!!

Lipi ni neno sahihi, maana watu wng wanachanganya;

Walimfata, walimfwata, walimfatwa, walimfuata.

Karibu utoe neno lingine ambalo watu wengi wamekua wakichanganya bila kujua kwmb neno hilo sio sahihi na lipi ni sahihi, ili tukienzi kiswahili, lugha yetu adhimu, kwa kutumia misamiati fasaha inayoeleweka....

Karibuni Jamvini!
 
Back
Top Bottom