Kwanini umbea unaitwa ubuyu?

Super Tuesday

JF-Expert Member
Apr 5, 2016
636
727
Siku hizi katika lugha ya kimjini mjini kwa maana ya lugha isiyo rasmi umbea unaitwa ubuyu, ningependa kujua kwasababu gani umbea siku hizi unaitwa pia ubuyu?
 
Back
Top Bottom