And if you don't know now you know

47pro

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
1,204
332
These are some of Sheng za Nairobi. Hatujapogwa jams kwenye national language, tunaelewa Sheng.

1.kubebwa tumboni miezi tisa =hiyo ni gondo.

2.ukitwa dwanzi =ni sawa na umeitwa fala

3 . kitu ina tee =kitu ina nuka.

4.nitegee =nisubiri

5.stand ya kutafuna fukuru Bila kundete =hela

Chips funga /okoa jahazi =dada poa /Malaya.

6.Mtumguya =mtu wangu
7.ngumunguya =mungu
8.ganji = pesa
9.njaro =style /swagger
10.mreshi/kemfa =demu.
11.manzi wa uduu =sister duu
12.manzi hungry =gold digger
13. Manzi wa ung'ong'o=demu wa kwenye slams.
14 . ngiri, =1000/=Kshs.
15. mezesha /jam/kushika nare =be angry
16.city kajo =mgambo wa jiji.
17.base =maskani
18.nangos/tenje =simu
19.soo =100/=Kshs
20.mogoka =mirungi.

Next week again.
 
but when you wipe your eyes, see it clearly there's no need for you to fear me if you take your time to hear me, maybe you can Learn to earn to cheer me. I know it's end of ur thinking capacity. Sorry anyway.
 
wakenya washamba sana ndo maana wadada zenu wanashoboka sana na waTz
 
Back
Top Bottom