Mtatuua na lugha zenu!!

WISE 2012

JF-Expert Member
Mar 13, 2012
634
460
Leo kuna mdogo wangu nimemtumia meseji nimemuomba aniazime chaja yake ya simu.
Akanijibu 21002.
Nikawa mkali nikamuambia kuchajia mara moja tu ndio HELA yote hio si bora nikanunue Chaja yangu mpya.
Akaniambia nimesema TUMIA TU
 
Duuuh hawa vijana na hizi lugha yani hapo skuwa na mawazo kua amemaanisha hivyo
 
Back
Top Bottom