Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kwa wale wa miaka ile mnakumbuka zile AUTO ambapo mtu alikuwa anamuomba mwenzake ajaze kwenye auto personal particulars kama names, parents names, likes, dislikes, ambitions, ushauri kwa mwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Exam fee imefutwa hata kwa private candidates au kwa school candidates pekee? Maana jana nimeenda posta kuchukua form nikaambiwa malipo ni palepale 40,000/=. Naomba msaada wadau.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu kama mnavyokumbuka serikali imefuta ada za mitihani kwa shule za serikali tu. Je hii ina maana kua anayesoma private schools ni lazima awe na uwezo? Sii kwamba amekosa nafasi ya kujiunga ba...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Thanks we gonna try for it!
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Ninahitaji kuelekezwa vyuo vinavyotoa online degree hapa Tanzania. Kama hakuna nahitaji vya nje. Niwekee websites nk. Ninataka kufanya MBA, Logistics/ International Transport au maeneo mengine...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Bofya hapa kwani deadline imekaribia http://64.141.2.205/en/node/311018/347
0 Reactions
0 Replies
1K Views
http://udsm.ac.tz/store/2010-2-24-15-5-54_mature%20results_2010_11.pdf
0 Reactions
17 Replies
3K Views
wajameni,naomba mniambie chuo kinachotoa course inayo jitegemea ya project manaement kwa mtindo wa evening classes na iwe ni kati ya miezi mitatu hadi mwaka,kiwe kinajulikana na kiwe hapahapa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimefatilia sana kuhusu time inayotokea earthquake kubwa, nimeona mara zote ni usiku, kwa mfano la Chile lilotokea saa 9 na nusu usiku kwa saa za Chile, Haiti ilikuwa usiku, China usiku, Italy pia...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hello Great Thinker! I found this site useful and think will be better to share with you. Go to this site www.4shared.com and enter the name or title of the book you are looking for at the search...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
The Monitor Makerere has overtaken Dar es Salaam to become the highest-ranked university on research publications in East Africa. The rankings, published under the Webometrics Survey, are...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Vyoo pekee vinavyotumiwa na wanafunzi wa kiume zaidi ya 400 shuleni hapo. WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi haiwezi kuwa kimbilio pekee la...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Twins aged 9 youngest ever to be given secondary school place Source:The mirror Uk By Rebecca Evans 1/03/2010 Nine-year-old genius twins youngest ever at 'big' school Twins aged nine are...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
By Francis Kagolo ABOUT 500 academics at Makerere University are to lose their jobs in the ongoing restructuring, the university announced yesterday. The process, expected to be concluded in...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Muujiza katika chembe ya Atomu Harun Yahya Mbingu: Pamoja na wanasayansi kufanya jitihada kubwa za kitafiti kubaini ukubwa wake, mapana na umbali wake, ukubwa wa umbile la mbingu umepindukia...
0 Reactions
47 Replies
16K Views
OPPORTUNITIES IN THE FIELD OF BIOSAFETY BIOSAFETY WEB PAGESFive Fully-Funded One-year Master Fellowships in GM Crop Risk Assessment Introduction to BiosafetyDatabasesThe International...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
JF thinkers. Hivi: 1. Kwanini pua inatokwa na 'kamasi' pale unapokula chakula chenye pili pili? (inanitokea mimi, na huwa si mpenzi wa pilipili sasa sijui kama hii ni kweli kwa waliozoea vyakula...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Emmanuel Nchimbi alipokuwa mkuu wa wilaya ya Bunda-Mara alijipa ujiko na kuipa shule ya sekondari jina lake akiongeza na Title ya Udaktari feki wake. Jina shule bado linaitwa Dr.Nchimbi sasa...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Exuper Kachenje CHUO cha Ununuzi na Ugavi (IPS) cha jijini Dar es Salaam, kipo mbioni kutoa shahada katika fani hiyo. Hayo yalisemwa juzi na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo hicho, Dk Didas...
0 Reactions
1 Replies
10K Views
Nimekutana na hii kitu sehemu na nikaipenda kweli, it worth sharing with you guys...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Back
Top Bottom