Mpango Mpya wa Kusajiji Wanafunzi Vyuo Vikuu, je ni “wizi mtupu?” | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpango Mpya wa Kusajiji Wanafunzi Vyuo Vikuu, je ni “wizi mtupu?”

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by SuperNgekewa, May 30, 2010.

 1. S

  SuperNgekewa Member

  #1
  May 30, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpango Mpya wa Kusajiji Wanafunzi Vyuo Vikuu – Tume ya Vyuo Vikuu – Central Admission System (CAS)


  Something horrible is happening with the newly introduced/imposed centralised universities admission system (CAS). I heard students complaining in a daladala that it is “Wizi Mtupu” but that Mr Mkunya is blaming things on "ujinga wa form 6 leavers". Can someone who has used the system please let the public know what is going on?
   
 2. tcoal9

  tcoal9 JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2010
  Joined: Apr 5, 2009
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  cas ni nzuli na walioiandaa wamejitahidi.nimewasaidia kusajili wanafunzi kumi na saba (17), hapa wilayani mbulu, kata ya dongobesh - manyara. Tatizo nililo libaini ni muda wa mchana na jioni inakuwa vigumu kuweza kufanya usajili, nililazimika kufanya usajilii muda wa alfajiri/asubuhi wakati mwingine. Ni kweli tatizo lipo kwa hawa wanafunzi, hawana ufahamu kabisa kuhusiana na internet kwa ujumla. Ilinibidi niwape mwongozo katika hili.
   
 3. k

  kausha Member

  #3
  May 30, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 73
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Ni mpango safi sana komesha ya vyeti feki tatizo labda mawasiliano kwa walioko vijijini vinginevyo hata zile nafasi zilizokuwa zinabanwa na wanaopata vyuo vitatu litatuliwa.
   
Loading...