natafuta shule ya msingi boarding mkoani kilimanjaro

Mom

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
708
29
Naomba kwa wenyeji wa mkoa huu wanisaidie, ninatafuta english medium primary school yenye mazingira mazuri ya boarding, ninawahamishia watoto wangu moshi na ningependa wawe boarding kwa sababu nitahitaji kusafiri mara kwa mara. wako std2 na std 1.
 
Mie hata kama naenda Ughaibuni watoto wa umri kama wako ambao ni wa std 2 na 1 kuwapeleka boarding siwezi kufikiria kabisaaa.
 
Mom you cant do that to your little babies please kwa nini uwapeleke watoto wadogo hivyo boarding school?? they are hardly 10 yrs old. huoni kama utamiss very important stages in their lives wakiwa boarding school??? Hebu fikiria kidogo angalau mie nawaonea huruma kwa kweli.
 
Kama unadhani,shule za bweni zitaleta watoto wako wenye umri huo umechemsha,una ndugu au unadhani wakijua lugha ya kiingereza ndiyo malezi bora na elimu bora kwa wanao,fikiria mara 100,000,000,000
 
kupeleka watoto boarding kuna tegemeana na mambo mengi, kama alivyosema atakuwa anasafiri mara kwa mara,hakumaanishi kuwatupa kabisa, mie pia nimewapeleka boarding kwa sababu zangu binafc za kimaisha...Mom jaribu na na International skul-moshi....ipo shanti town.
 
mbona mnanishambulia hivyo, kwani mm napenda? na ndo maana natafuta yenye mazingira ya kufaa. ni kwa muda na si permanent na nimefikiria option nyingi naona bora boarding kwani nilishawaacha kwa mtu sikufurahia mazingira niliyowakuta nayo.

nimeuliza english medium maana ndiyo shule wanayosoma sasa na si kwamba ndio kumpa mtoto elimu bora bali kwa mtazamo wangu nilipenda wapate elimu hiyo na wamesoma hivyo since they were 2yrs.
 
kupeleka watoto boarding kuna tegemeana na mambo mengi, kama alivyosema atakuwa anasafiri mara kwa mara,hakumaanishi kuwatupa kabisa, mie pia nimewapeleka boarding kwa sababu zangu binafc za kimaisha...Mom jaribu na na International skul-moshi....ipo shanti town.

Thanks Nyamayao, International school niliuliza ni veryexpensive to me kwa sasa, ningependa hizi za kawaida but english medium.
 
ni kweli ni exp sana, mwenyewe inanishinda, nina mpango wa kumuhamisha mmoja mana nitakufa njaa..na unataka mkoa huo huo tu mami? mana arusha nazo zipo nzuri na mie ndio nina mpango wa kumuhamishia huko.
 
Naomba kwa wenyeji wa mkoa huu wanisaidie, ninatafuta english medium primary school yenye mazingira mazuri ya boarding, ninawahamishia watoto wangu moshi na ningependa wawe boarding kwa sababu nitahitaji kusafiri mara kwa mara. wako std2 na std 1.

Uko siriaz kweli na maisha Mama wewe? Unajua watoto wanavyofanyiwa shule? By the way kasome thread ya Dabo Diff na mambo ya usagaji na pia kama ni boys unataka wambadilishe jinsia. Umewazaa wa nini? Yoyote ajaye hapa JF naamini ana uwezo wa kubadili kazi at some point. Tafuta kazi nyingine ulee wanao, kaa nao full stop. Umeniuzi sana, aaarrghhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kupeleka watoto boarding kuna tegemeana na mambo mengi, kama alivyosema atakuwa anasafiri mara kwa mara,hakumaanishi kuwatupa kabisa, mie pia nimewapeleka boarding kwa sababu zangu binafc za kimaisha...Mom jaribu na na International skul-moshi....ipo shanti town.

Katoe boarding watoto weweee, walimu wenyewe hawana manners. Miaka hiyooo dada yangu alikoswa koswa kubakwa na mwalimu mara kibao na wakati huo ndio ualimu ulikuwa wito na maadili kibao, sasa je? Acheni uvivu na visababu, ukiamua unaweza, mbona kuna mambo ktk maisha yenu mnaamua hamtaki ku-compromise? Kwanini sio watoto? Sisemi wakikaa nyumbani wako safe 100% na wala threat sio kubakwa tu, ila utamfundisha lini values za maisha?
Nasikiaga huko havinaga hata mtu wa kuvichambisha, poor kids.
 
kumbe umeckia tu hujashuhudia, bac una uhuru wa kuongea lolote....kwingine ctakujibu coz nadhani hatutaenda sawa na kila mmoja ana utaratibu wa lyfe yake...thnx.
 
Mom, jaribu MOSHI AIRPORT iko chini ya masista na ni nzuri wa kwangu yuko huko, give a try.
 
asante lily nitajaribu kupita hapo maana si mbali na mji

Nyamayao, moshi airport iko lower soweto.
 
hee kumbe hapo soweto tu na cjawahi kuickia, ningetamani kujua na ada yake ikoje, natamani wote wasome mkoa mmoja ili iwe rahic kwangu kuwatembelea, ukicheki nao naomba info mom...
 
Katoe boarding watoto weweee, walimu wenyewe hawana manners. Miaka hiyooo dada yangu alikoswa koswa kubakwa na mwalimu mara kibao na wakati huo ndio ualimu ulikuwa wito na maadili kibao, sasa je? Acheni uvivu na visababu, ukiamua unaweza, mbona kuna mambo ktk maisha yenu mnaamua hamtaki ku-compromise? Kwanini sio watoto? Sisemi wakikaa nyumbani wako safe 100% na wala threat sio kubakwa tu, ila utamfundisha lini values za maisha?
Nasikiaga huko havinaga hata mtu wa kuvichambisha, poor kids.

ingekua wote tuna mawazo hayo yako tusingepeleka watoto shule si ajabu hata ww usingesoma maana huko washindako kuanzia asbh mpaka jioni wangefanyiwa mengi tu. je wewe una mtoto na je unamfundisha mwenyewe home na hana housegirl wala house boy? maana mtoto kufanyiwa uchafu hata nyumbani yawezekana na kama mwl mmoja alitaka kumbaka dadako basi si walimu wote wako hivyo mbona hata baba wanabaka watoto wao so tuwaogope baba wote?
 
hee kumbe hapo soweto tu na cjawahi kuickia, ningetamani kujua na ada yake ikoje, natamani wote wasome mkoa mmoja ili iwe rahic kwangu kuwatembelea, ukicheki nao naomba info mom...
nimewahi kwenda hapo ila mazingira ni ya vumbi, ada kwa day ni laki6 usafiri unajitegemea, boarding ni mil1 na laki kadhaa ckumbuki. lakini ukimtoa mtoto international hizi za kawaida si itakua kumchanganya au anatumia sylabus ya Tanzania?
kuna scholastica nimesikia iko marangu au himo cjafika bado
 
ingekua wote tuna mawazo hayo yako tusingepeleka watoto shule si ajabu hata ww usingesoma maana huko washindako kuanzia asbh mpaka jioni wangefanyiwa mengi tu. je wewe una mtoto na je unamfundisha mwenyewe home na hana housegirl wala house boy? maana mtoto kufanyiwa uchafu hata nyumbani yawezekana na kama mwl mmoja alitaka kumbaka dadako basi si walimu wote wako hivyo mbona hata baba wanabaka watoto wao so tuwaogope baba wote?

hapo sasa.....anafikiri watu tunapenda iwe hivyo au ni mambo ya maisha yanatusonga, kuna wakati mie nawamic mpaka nashindwa kufanya shughuli zangu, lakini ndio inabidi nitafanyaje sasa.
 
Back
Top Bottom