Msaada somo la marketing please | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada somo la marketing please

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kimori88, Jun 17, 2010.

 1. K

  Kimori88 Member

  #1
  Jun 17, 2010
  Joined: May 17, 2009
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hello colleagues! I am a student at one of the distance learning university. I have this assignment and I dont
  know how can I go abou it. Please help me. this is the question
  ''Think of the orhanisation of your own, and carry out a discussion on how strategic marketing activities apply to it. Thank in advance. I only need the oulines.
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye wekundu nadhani ulimaanisha Organization. Anyways, wanataka uandae business plan na utegeneze zile stages za kuimarket au awareness creation to your expected customers. Baada ya hayo waweza kuangalia hapa kama patakusaidia kwa attachment pengine waweza pata moja au mbili points na badae nenda google baada ya kutengeneza outline yako mwenyewe. Be creative mkubwa hii ndo shule na kaza msuri!
   

  Attached Files:

 3. firstcollina

  firstcollina JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Thanks Genekai!
  Its my hope that your impression will make something for the guy. Hapa lazima nikupe pongezi maana katika JF kuna mambo mengi sana (Muhimu sana na yenye umuhimu kidogo) lakini chakusikitisha kuna wakati tunashindwa kuyapa kipaumbele yale ya muhimu kama hili ulilotumia muda wako kusaidia.
  Actually wawezaona ni kidogo but I hope it is huge like Dolphin katika kundi la Dagaa.Thanks guy keep it up. I real like such attitudes

  Regards
   
 4. Chacha wa Mwita

  Chacha wa Mwita Senior Member

  #4
  Jun 18, 2010
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 166
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  swali dogo tu wakubwa, kuna ofisi inayo andaa na kuuza business plans za aina tofauti? au hadi kwa order maalum? kwa hapa Tz kwetu.
   
 5. BrownEye

  BrownEye Member

  #5
  Jun 18, 2010
  Joined: Jul 31, 2007
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tafadhari ninaomba nijulishwe kama hilo swali limetoka katika course ipi hasa ya marketing na ni katika tawi lipi hasa maana kuna matawi mengi yakitofautiana katika mitazamo ya kujibu maswali yake, mfano (MBA- matawi kama strategic marketing, marketing management, mktg reaseach, international mktg etc) Kwenye Degree ya kwanza (kuna principles of Mktg, mktg management, service marketing etc. ) kwenye kozi za certificate na diploma in business pia kuna tofauti kidogo ya mitazamo na ujibuji wa maswali. Nakutakia mafanikio. nitafurahi kusikia watu wakisaidia katika mambo ya masomo kama hili.
   
 6. K

  Kimori88 Member

  #6
  Jun 18, 2010
  Joined: May 17, 2009
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Its STRATEGIC MARKETING. Thanks
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Heshima mkuu
  naomba niwasilishe constructive critisims yangu juu ya swali lako

  Ukisema unataka outlines una maanisha nini? Je hamna refence books ya kutumia kwenye hizo assigment. Nadhani ingekuwa vizuri kwako kuchemsha kichwa chako uje na outlines then ulize kama kuna nyongeza au kuna makosa .

  Sorry naona style unayotaka kutumia ni ya spoon feeding ambayo siyos nzuri.

  Vile vile elewa hiyo ya assingment wanataka ufanye research mwenyewe.So the best way fanya research then lete nondo zako . watu wakukosoe na kukuongezea.


  Sijui mambo ya marketting lakini if i was you ningefanya hivi

  1. Select organisation of my own( eg. Vodacom, NMB, KPMG, NOKIA TOYOTA, SIMBANET, Bonite Bottlers, TBL etc)
  hapa uchgue organisation unayoweza kupata taarifa zakekirahisi ama kwenye mtandano au kutoka kwa wahusika. Nadhani huwezi kukosa rafiki kwneye makampuni wa kuweza kukupa taarifa jinsi wanafanya marketing. Ingawa taarifa nyingine ni siri lakini utapata basic . Maana nasikia COCACOLA walikuwa wanafanya sabotage kwa PESPSI sijui kama hiyo nayo ni strategic marketting

  Naamini kila organisation ina ViSSION na MISSION , ETHICS na CULTURE. Strategic marketting nadhani lazima izingatie vitu hivi.

  2. Inabidi ujue strategic marketing activities ni zipi. nahakika kweneye reference books ulizoambiwa kusoma zitakuwepo. kama huna vitabu taja majina ya vitabu na mwandishi tunaweza kukusaidia kukupa link ye kupata electronic books


   
Loading...