Chemsha bongo

cc_africa

Senior Member
May 30, 2010
121
2
Chemsha bongo. Umepewa dumu 3 zenye lita tofauti- lita nane na lita tano na lita 3. Lita nane inamaji lita 8, lita tano haina kitu,na lita tatu haina kitu. Umeambiwa ugawe maji kwnye lita tano iingie lita nne na lita nane ibaki lita nne. Lita tatu itakusadia kwnye kugawe, utafanyaje?
 
itabidi nisigawe kwa maana huyo mtu aliyenipa anataka kuchanganya akili yangu...ajaze mwenyewe......:behindsofa:
 
Chemsha bongo. Umepewa dumu 3 zenye lita tofauti- lita nane na lita tano na lita 3. Lita nane inamaji lita 8, lita tano haina kitu,na lita tatu haina kitu. Umeambiwa ugawe maji kwnye lita tano iingie lita nne na lita nane ibaki lita nne. Lita tatu itakusadia kwnye kugawe, utafanyaje?

Unaweza usiamini lakini chemsha bongo za aina hii tulikuwa tunapewa tulipokuwa Form I na mwalimu wetu wa hesabu. Anayeipata hupewa senti hamsini (that was 1971). Kwa hivyo tulikuwa tunachemsha bongo kweli kweli ili kupata hizo 50 cents. Mojawapo ilikuwa ni chemsha bongo hiyo hapo ambayo nashangaa baada ya miaka 39 bado inatembea, na sasa imefika kwenye mtandao!

Hii inakwenda hivi:
Chukua dumu la lita 3 ujaze na kumimina kwenye lile la lita tano. Jaza tena lile la lita tatu na umimine kwenye la lita tano. Zitaingia mbili na itabaki moja. Shida yako ni hii moja ambayo utaongezea na zile tatu utapata nne kwa nne. Voila!:glasses-nerdy:
 
Chemsha bongo. Umepewa dumu 3 zenye lita tofauti- lita nane na lita tano na lita 3. Lita nane inamaji lita 8, lita tano haina kitu,na lita tatu haina kitu. Umeambiwa ugawe maji kwnye lita tano iingie lita nne na lita nane ibaki lita nne. Lita tatu itakusadia kwnye kugawe, utafanyaje?

1. Weka lita 3 (kutoka dumu la lita 8) kwenye hilo dumu la lita 3, kisha mimina kwenye dumu lita 5
2. Weka lita 3 ((kutoka dumu la lita 8) ) kwenye hiyo dumu la lita 3, kisha mimina kwenye dumu lita 5, utajaza dumu la lita 5, utabakiwa na lita 1 kwenye dumu la lita 3.
3. Weka lita 5 (kutoka kwenye dumu la lita 5) kwenye dumu la lita 8. (mimina maji yaliyowekwa kwenye lita 5 kwenye lita 8). Kwahiyo dumu la lita 5 litabaki na 0 litres, na dumu la lita 3 litabaki na 1 litre na dumu la lita 8 litabaki na 7 litres.
4. Weka lita moja, iliyopo kwenye dumu la lita 3, kwenye dumu la lita 5.
5. Weka lita 3 kwenye dumu la lita 3 (kutoka kwenye dumu la lita 8, utabakiwa na lita 4 kwenye dumu la lita 8) , na mimina kwenye dumu la lita 5.....utakuwa na lita 4 kwenye dumu la lita 5.

Vipi hapo mkuu?
 
Msaada kwenye tuta..ebwana ninachemsha bongo kama hii ya mdau(unaifanya kwa vitendo kabisa ) ila ipo kwenye my computer na file lipo kwa excel ila inashindwa kufanya attachment! nimeingia kwenye manage attachments nakukesha huko lakin wapi!! Msaada kwa wajuvi km kuna alternative way ya kufanya attachment za kutoka kwenye computer!?
 
Chemsha bongo. Umepewa dumu 3 zenye lita tofauti- lita nane na lita tano na lita 3. Lita nane inamaji lita 8, lita tano haina kitu,na lita tatu haina kitu. Umeambiwa ugawe maji kwnye lita tano iingie lita nne na lita nane ibaki lita nne. Lita tatu itakusadia kwnye kugawe, utafanyaje?

Nitamimina
 
Back
Top Bottom