Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari za leo wana JF wenzangu. Poleni na hekaheka za kampeni za Uchaguzi. Tumeweka links za tovuti ambazo zinaweza kuwasaidia wanafunzi wa vyuo kwenye blog/tovuti yetu: Education (See Virtual...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
HABARI WANAJAMII WOTE NASHUKURU KUJIUNGA NA WANAJAMII WENZANGU ILI KULETA HOJA, ELIMU NA MABADILIKO KATIKA JAMII PALE PANAPOWEZEKANA. NIKIWA MMOJA KATI YA WATU WANAOPENDA MAENDELEO KIELIMU...
0 Reactions
2 Replies
9K Views
Jamani kama mtakumbuka hivi karibuni wanafunzi walio maliza kidato cha sita wali apply kupitia central admission system, vipi majibu mbona yanachelewa?.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Hawa jamaa hawafai katika dunia ya leo mda unamata sana kama ulimwambia mtu tarehe 18 mwez flan kuna watu watapoteza mda wao pesa zao kutafuta selection au na hili nalo limekaa ki siasa
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wapendwa, naomba mwenye taarifa zinazohusu maendeleo ya sekta ya uvuvi kwa Tanzania, kama kuna study yeyote ilifanyika na inawea kupatikana itakuwa vizuri zaidi. Shukran, Annina
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninasikitika kuona namna ambavyo Chuo kikuu cHA DODOMA kinavyotumika katika siasa za nchi hii hasa katika kukifagilia chama tawala- twawala. Licha ya majigambo haya yote kwa taarifa tu wale...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
SAUT naona wameweka mambo hadharani ebu checki http://74.53.24.105/~saut/selectiontcu.php Ila ukienda TCU kwenyewe hola,sasa sijui SAUT wamepewa na nani? Au ndo wanasubili magazeti yauze?
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Wajameni naweza kuwa nilipitwa kidogo na post kuhusu edu ya Kikwete au dr yake ni ya nini?Kila leo watu wanasema khs ya Slaa ambayo mie naiheshimu sana maaana Theology si mchezo ina kila...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Naomba mtu mwenye kujua chuo kinachofundisha masomo ya IT kwa njia ya posta.online nk kwa ngazi ya cheti na diploma anijulishe,nataka kusoma.nataka chuo makini,kinachotambulika serikalini hata...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Jamani kama kuna yeyote yule anajua vyanzo vya taasisi yoyote ile inayoweza kutoa sponsorship mimi ninandugu yangu alikuwa amepata mfadhili lakini kwasababu zisizoweza kuzuhilika amejikuta hana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Fanya kazi yako vizuri: Hili la kwanza linaweza kuwa wazi.Umeajiriwa kwa sababu mwajiri wako anahitaji msaada kutokana na ujuzi ulionao.Unategemewa kufanya kazi zako kwa juhudi na maarifa...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
wana JF kuna jamaa yangu alikuwa anamsomesha mtoto yatima, maendeleo ya yule mtoto hayakuwa yakuridhisha hata kidogo darasani. akatakiwa kurudia kidato cha kwanza au kuhama, akahamishwa na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hapa nazungumzia vyuo vya ualimu ktk ngazi ya Diploma. Naaminimtu yeyote aliyemaliza form six kumtreat kama mtoto wa form one ni sawa na kumdhalilisha. Kuna baadhi ya vyuo sijui kama ni vyote...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
The following is the short description of top ten great scientist of the world. Go through the Link below. 10 Great Scientists of the World
0 Reactions
16 Replies
3K Views
http://www.aru.ac.tz/files/pdf/disaster.pdf
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Under graduate,University of East Anglia Arts & Humanities Foundation Scholarships 2010-2011 Scholarship,Humanities Foundation,University of East Anglia, UK Applicants from non-EU...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Undergraduate Scholarships 2010 in Medical Sciences at The Latin American School of Medical Sciences, Cuba Mallaba Foundation The Latin American School of Medical Sciences...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
(MUIS) 2011 for Undergraduate and Postgraduate Studies Mallaba Foundation Macquarie University International Scholarships are available across most courses to cover international...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom