Maisha ya Bin'Adam
Katika maisha yake yote, Bin'Adam hana budi kufahamu ana jukumu gani akiwa kama Kiumbe katika dunia hii. Suala hili linakuja pale Bin'Adam anapojitambua, na kujitambua...
Mwenzenu huwa natatizwa na Selection ya Form IV kwenda Form V, Vyuo nk. Huwa inakuwaje waliofaulu vizuri wanaenda A-Level, vyuo vizuri nk, lakini wale wa karibu na kufeli kabisa kama Div IV.28...
Kwa kuwa watoto wote wa vigogo wa serikali na kampuni binafsi watoto wao wote wanasoma shule za english media AU saint nanihii, kwa kuwa hata wale wananchi wa dalaja la kati wanajitahidi kujinyima...
Nimei down load kutoka mtandao wa gazeti la Mwananchi
Tanzia:Kapumzike Dk Kisanji waliokujua watakuenzi
Na Abeid Poyo
HAKUNA awezaye kukizuia kifo pindi kinapomtembelea mwanadamu. Laiti uwezo...
We are shut up in schools and college recitation rooms for ten or fifteen years, and come out at last with a bellyfull of words and do not know a thing. The things taught in schools and colleges...
Hallow fellows
I am looking for Human Resource Information System please
If you have it, or you know where I can download the best one, help me please
Thanks in advance
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, amelitaka Baraza la Vyuo Vikuu vya Afrika Mashariki (IUCEA) kuhakikisha kwamba vyuo hivyo vinatoa elimu bora ya juu...
Je kuna mtu ana information zozote kuhusu chuo cha Acharya? Nataka kuapply for a course na nimeambiwa wana local agent hapa bongo. Anyone?
Chuo " ACHARYA INSTITUTE OF MANAGEMENT & SCIENCE
URL...
Ni jambo la kushangaza kusikia ama kushuhudia baraza la mawaziri la serikal ya wana funzi mzumbe university kuingia katika timbwilitimbwili la kukalia kuti kavu hapo majuzi.
Habari za kutoeleweka...
Ilikuwa katika hifadi ya wanyama ya kreta ya Ngorongoro.
Twiga mmoja aliekuwa amegongwa na gari la watalii, alikuwa anachechemea na kuangalia pande mbalimbali za nchi akiogopa kushambuliwa na...
Title: ESR2.2 Development of novel integrated photocatalytic adsorbents (IPCAs) for organics removal from water and wastewater
Course will probably start in September 2010
Minimun requirement...
Bado naangalia kwenye website ya Open University of Tanzania, nia na madhumuni ni kutafuta maelezo kuhusu lini masomo yanaanza. Nikimaanisha kama ndiyo kwanza nimejiunga masomo yanaanza lini. Au...
mwenzenu nimepata chuo UK (scotland) kinaitwa aberdeen,nataka kusoma masters ya education.lakini sijapata mdhamini.Naomba mnisaidie nifanyeje ili kupata sponsor huko UK,au watu gani wanaotoa...
Heshima zangu kwa wanataaluma na wanazuoni wa JF!
Nikiwa najua kuwa mafanikio ya mtu ki-maisha hayatokani tuu na kozi aliyosoma, natambua pia kuwa kozi uliyosoma ina mchango mkubwa hasa kama iko...
Kwa wale wa miaka ile mnakumbuka zile AUTO ambapo mtu alikuwa anamuomba mwenzake ajaze kwenye auto personal particulars kama names, parents names, likes, dislikes, ambitions, ushauri kwa mwenye...
Exam fee imefutwa hata kwa private candidates au kwa school candidates pekee? Maana jana nimeenda posta kuchukua form nikaambiwa malipo ni palepale 40,000/=. Naomba msaada wadau.
Wakuu kama mnavyokumbuka serikali imefuta ada za mitihani kwa shule za serikali tu. Je hii ina maana kua anayesoma private schools ni lazima awe na uwezo? Sii kwamba amekosa nafasi ya kujiunga ba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.