Rejea kichwa cha habari hapo juu,naomba mnisaidie kufahamu hivi sasa Tanzania kuna mikoa mingapi?Nauliza hivyo kwasababu niajuavyo mimi kuna mikoa 25;lakini kuna jamaa yangu mmoja kaniambia...
Serikali ya Tanzania inawekeza zaidi ya Tsh Bilioni 30, kujenga Chuo kikuu kipya cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela huko Arusha. Chuo hicho kitakuwa cha pekee barani Afrika na kitatoa...
Inasikitisha kuona chuo kikuu kama open unniversity of dar es salaam ati wanafunga website ambayo wanafunzi wanapata msaada kujua taarifa zinazojiri kuhusu matokeo pamoja na mambo...
Sikutegemea chuo kipya na kinachojijengea umaarufu kama hiki kikose maji. Hebu tazama, mtu unaenda ****** unakutana na kinyesi cha jana! Mtu kaenda na kikopo cha maji lita moja na baada ya...
LONDON- A primary school science project has for the first time appeared in Biology Letters on Wednesday, which is an internationally recognized peer-reviewed academic journal.
The research was...
Wakubwa,kwa wale wanaotafuta material kadha wa kadha,munaweza tembeleaAfroIT E Learning Page kwa ajili ya vitabu mbalimbali ambapo una uwezo wa kusoma online.Tunajitahidi kuhakikisha tunaweka...
Gazeti la habari leo linatuhabarisha ya kuwa zaidi ya asilimia sitini ya wanafunzi wa Chuo Kikuu kikongwe kulikoni vyote cha UDSM kina ukosefu mkubwa wa vitanda vya kulalia...
Aman ya Utanzania iwe nanyi wanaJF,
Ndugu zangu juzi nilikua katika safari ndogondogo za mwisho wa mwaka huku mikoa ya nyanda za juu kusini katika mikoa ya Rukwa, Mbeya ,Ruvuma na Iringa...
Ndugu wanaJF, nilikuwa Algeria kwa wiki moja hivi na huko nimeonana na baadhi ya Watanzania, ambao wameamua kufanya kazi huko kuliko kurudi Tanzania kwa kile walichodai "viongozi wetu ndio...
Salaam wana JF.,
Yamepita ya UDOM na MUHIMBILI Univ. kumtununuku udokta mkwere., Mzumbe University ndio wanafanya mahafali leo., Tutarajie nini kutoka kwao ukizingatia kuwa ni chuo maswahiba wa...
Kwa miaka mingi, Mfumo wa utawala wa siasa umeomanishwa na utawala wa serekali. kwa namna hii tofauti na nchi kama Ethiopia, wananchi wa Tanzania kwa kupitia serekali yao, mashirika ya umma na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.