Nimeiona hii kule BBC news:
Education reduces blood pressure
Higher levels of education have been linked to lower blood pressure
Despite exam stress, a long stint in education is good...
Habari wana jf!mm ni kijana wa kitanzania,nlmalza kdato cha 6 mwaka jana ktk shule flan kule kanda ya ziwa,bt kutokana na sababu zczozuilika ckufanya application kwenye chuo chochote,so mwaka hu...
WanaJF,
Hivi karibuni nilijumuika kwenye ziara ya Rais aliyechaguliwa na NEC, Dr. Kikwete (heshima-UDOM) ya kutembelea eneo la Gongolamboto lililoathiriwa na mabomu. Juzi nilijumuika pia kwenye...
BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta), limepuuza lawama zinazoelekezwa kwake kutokana na matokeo mabaya ya kidato cha nne ya mwaka 2010, likieleza kuwa halipaswi kulaumiwa huku Katibu Mtendaji wa...
Jamani Watanzania wenzangu, kwa takribani wiki mbili sasa nipo kwenye data collection(field) ktk shule mbalimbali za msingi mkoani wa Dodoma! Kuna mambo yameniacha hoi, ktk shule 12 nilizotembelea...
Kuna taarifa kutoka chanzo kwa mtu wangu wa karibu aliyepo chuoni hapo kwamba mwanafunzi wa kike amefariki jana baada ya kukanyagwa na wenzie kwa kile kilichoelezwa ni kukimbilia kuwahi seat...
Nimepata bahati ya kufuatilia matamshi ya General Shimbo katika nyakati tofauti ukianzia lile tamko la wakati wa uchaguzi, na hili la leo kuhusu makazi ya wanajeshi. Kadri ninavyofuatilia matamko...
Habari za Kitaifa
Theluthi 2 ya wanawake hawajui kusoma, kuandika
Imeandikwa na Mwandishi Maalumu; Tarehe: 24th February 2011 @ 07:46 Imesomwa na watu: 20; Jumla ya maoni: 0...
FYI:
The South African Centre for Epidemiological Modelling and Analysis (SACEMA), in collaboration with the African Institute for Mathematical Sciences (AIMS), is holding a 2 week modelling...
Kwako Baba mpendwa shikamoo!!
Salamu zangu kwenu nyumbani, mimi ni mzima hofu ni kwenu mlio mbali na upeo wa macho yangu!!
Dhumuni la barua hii ni kukushukuru kwa yote ambayo umekuwa...
Salaam jamani wale tulipitia Pale St. Thomas Miaka ya 80 na 90 mko wapi makumbuka Mabig, Njoge, Calico, walimu walikuwepo akina Seko, Ishemoi, Mushema, Kebi, Marehemu Agai, Temalirwa aka za kifua...
Nimejaribu kuweka link zote muhimu zinazohusiana na hizo Scholarship so changamkeni.Alafu kama wewe hutaki au huitaji muonyeshe mtu ambae anaweza kua anahitaji.....tusibaniane nafasi kama hizi...
Utafiti wa Kisayansi unaonyesha.
1. 1. Asilimia 70 ya wanafunzi wa darasa la tatu hawawezi kabisa kusoma kiswahiri.
2. 2. Asilimia 90 ya wanafunzi wa darasa la tatu hawawezi kabisa...
Jamani mko wapi ndugu zangu tuliokuwa pamoja pale Geita Sec. enzi za Mkuu Sosthenes Ngussa na kufuatiwa na Ndugu Shima (Nimemsahau jina lake la Kwanza). Je! Mnamkumbuka Mwl. Kikome? Tujuliane hali...
Tanzanian Training Centre for International Health, Ifakara
REFRESHER COURSE FOR CLINICAL OFFICERS 2011
18- 29 April 2011 Ifakara, Tanzania.
This course is open to clinical officers...
General information - Chevening scholarships for UK study
Online applications - https://www.chevening.fco.gov.uk/CheveningApplications/CA_Start.aspx
All the best kwa mtakaotuma applications.