Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 29,909
- 54,683
Nimejaribu kuweka link zote muhimu zinazohusiana na hizo Scholarship so changamkeni.Alafu kama wewe hutaki au huitaji muonyeshe mtu ambae anaweza kua anahitaji.....tusibaniane nafasi kama hizi jamani!!!
Versities......zipo nyingine nimeweka chache tu so ni kiasi chakuangalia
na kuchagua....ila zote ni nzuri!!
Lulea University of Technology
http://www.ltu.se/?l=en
Umea University
http://www.umu.se/english/
Uppsalla University
http://www.uu.se/en/
About
scholarships........
https://www.studera.nu/studera/4746.html
Kwa
Masters-Scholarships and Bachelor
http://www.studyinsweden.se/Scholarships/SI-scholarships/The-Swedish-Institute-Study-Scholarships/
Programs za Master's zinazotoa
scholarships
http://www.studyinsweden.se/upload/studyinsweden_se/Documents/2010/Eligible%20programs%20the%20Swedish%20Institute%20Study%20Scholarships%202011-2012.pdf
Program
za Bachelor

zinazotolewa kwaajili ya Master's ni sawa na zinazotolewa kwaajili ya
Bachelor.
Kuna PhD pia...unaenda tu hapa http://www.studyinsweden.se/Scholarships/ unachagua nchi na
level.
Application fee ni 900SEK sawa na 150USD.....Maombi kwanzia tar 1
Dec mpaka Jan 17 so msicheleweshee!!
Kuhusu Application https://www.studera.nu/studera/1617.html na kuapply itakua
kwenye hii hii website https://www.studera.nu/. BTW unaweza kuapply unieversity
tofauti kwenye application moja.
Good luck kwa wale watakaoomba!!